Senks Mfagio. Ngoja nijaribu..
Wewe ni Mfagio wa chuma au wa Chelewa?
Hivi hujaachaga tu umbeya?
Anyway, natarajia kutangaza nia. Sasa nataka kuchukua desa kwenye muvi.
Nitakie kila la heri.
Heshima kwako Mkuu.
Barkiwa sana.
Nakushukuru Kichuna wangu tetramelyz
Hivi hizo Tetramelyz ni zile dawa zilizotangazwa za kutibu nanihii?
Kweli mkuu, tumeshakuwa vikongwe saa hizi.
Toka 2008, kipindi hiko Heaven on Earth bado anachanganya viatu, cha kushoto anavalia kulia.

mbona unanisemelea ujue mi mkubwa sana ningemuwahi baba yako ningekuzaa weweBabu Asprin na mwenzake Dark City kipindi ile walikuwa wanajiita Manyangema.
masai dada na mwenzie miss chagga kipindi hiyo wako bize kulilia nyonyo.
Nashangaa Shkamoo hawataki kutupa:confused2:
stream hapo angalia live au tafuta Internet Download Manager Download
Project Free TV :: How I Met Your Mother
by the way na package cheaper za bundle net zenye kasi kwa sasa ni Zantel (vigezo vya location / mahali ulipo kuzingatiwa)
02tvseries.com hapo kuna series nying kwel, za 30min ni mb 35, 45min mb 70's per episode
hyo unayoitaka ipo mpaka season 9
Copy: Mwl. Evelyn Salt kwa ufafanuzi.
Kwa hiyo nianze kukuita Ma'mdogo?
Atakuwa kwenye kipindi saa hizi.
Sawa ma'mdogo, leo mama hayupo nitakuja kwako kunyonya.
Babu Asprin na mwenzake Dark City kipindi ile walikuwa wanajiita Manyangema.
masai dada na mwenzie miss chagga kipindi hiyo wako bize kulilia nyonyo.
Nashangaa Shkamoo hawataki kutupa:confused2: