How govt will spend Sh21bn for nothing

How govt will spend Sh21bn for nothing

sitta hata kkkt kanisani asikaribishwe tena, huu ni wizi wa mchana ... Anatenda dhambi anajua anatenda dhambi ... Wananchi wanashida wao wanachezea pesa! .... Angalia tu jinsi rais aliporudi dar kwenda temeke kukagua kambi ya ebola akakuta ni tofauti na matarajio yake .... Pesa hakuna!!!
sio asikaribishwe
inatakiwa aitwe kanisani ili apewe makavu live na maaskofu iwe funzo kwake na washirika wake
 
Sitta ni mhuni jana, leo na milele. CCM ni wezi, jana, leo na hadi kiama.
Mi nazidi kuwashauri wajumbe wa CA ingawa ni too late waonyeshe huruma kidogo kwa walala hoi wa nchi hii.
Inasikitisha kule kuna hadi wachungaji, maaskofu na wazee wa kanisa lakini dhamira zao zimeuawa na hawaoni kuwa mabilioni wanayoteketeza hapo Dodoma yangeweza kwenda kuokoa maisha ya watanzania wanaokufa kwa kukosa huduma za afya nchi hii

Inasikitisha sana...
Uhuni huu wa CCM na serikali yake bila kujali haki za wananchi ipo siku watajutia kupingisha kilichotoka kwa wananchi kwa masilahi yao binafsi.
 
watz tunaongoza kwa utindio wa ubongo, kwa nchi za watu wenye akili mambo ya kijuha kama haya yanayotendeka nchini hayapo kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
This is shit...daah kwa namna hii hamna maendeleo hizo pesa si bora zingetumika kununua madawati kwa Shule ..kujenga madarasa. Aisee. ...maendeleo ni bure hapa
 
siku zote wanasiasa wa tanzania msitegeme mambo mema kutoka kwao wao ni kupiga domo domo tu...kwanza hawazalishi kitu chochote wao wanatia hasara tu
 
Nashangaa mna mlaumu sitta kwa lipi. Wakulaumiwa ni UKAWA ambao walikacha kwa masudi kuendelea na bunge. Nia nzuri ya Kikwete kuwaachia wa Tanzania katiba mpya imekwamisha na uroho na ubinafsi wa ukawa

Ninadhani sitta hana kosa yeye hakushiriki kikao hicho.anangojea kushauriwa kimaandishi kwa sabau kisheria rais hana mamlaka ya kulivuna bunge la katiba.tutazame kisheria nani mwnye mamlaka ya kulivunja au kuahirisha bunge hilo.sitta hawezi kuamua kutokana na kusikiatuu.vinginevyo nchi itakuwa inaongozwa kwa hearsay.
 
Pesa ni nyingi lakini kwa kuwa wamelipwa Watanzania kwa muda waliotumia kukaa Bungenu let accepts it. kwani serikali ambazo zinawalipa wazee au raia wasio na kazi si sawa na hiki kilichofanyika?
 
kingine kizuri ni kwamba roho katili ya sitta imedhihirika mapema,.. i cant believe wameamua to rob the poor and the hungry in broad day light!

Unlike Robin Hood who robbed the rich to give to the poor, this robber from Urambo is robbing the poor who cannot even afford a meal a day!!! Mungu atamuadhibu hapa hapa duniani siku si nyingi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi Sitta hana mtu wa kumuwajibisha? Jk naye anashindwa nini kuonyesha nguvu ya uraisi kwa kulivunja hili bunge. Mnapo sema mtaendelea na mchakato 2015 mna hakika gani raisi ajae atakubali huu uhuni uliofanywa na bunge la Sitta let alone ccm kushinda.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi sitta anapenda mabilioni ya watanzania yatafunweeeeeee tuuuuu pasipo na matokeo....Nani atatusaidia wananchi...something has to be done...hapana...this is too much
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nimesikia ujuha mwingine ndio ukanitia kichefu chefu kabisa .... eti wana mpango wa kuhakikisha wale walioko nje ya bunge nao wanapewa fursa ya kupiga kura .... utoto na unafiki wa Sitta hauishi .... mtu hayupo bungeni ni kwamba kwa sababu moja au nyingine HAYUPO FULLSTOP ... wafanye uamuzi walioko ndani kama vikao vingine vya bunge!

...kiukweli kale kazee kamechemsha sana, kanalazimisha tu hata hakaoni aibu. akidi haitimii kamekomaa mpaka wanawatisha wana ccm waliogoma kufanya ujinga huu. baada ya kuona hawatishiki basi kameamua kuwapa fursa ya kupiga kura kule waliko. Wamempa fursa ya kuonekana anabusara kuahirisha mchakato yeye kakomaa tu. hata muuza muuza ugolo hawezi kufanya maamuzi kama haya ya mzee 6...!!
 
Nashangaa mna mlaumu sitta kwa lipi. Wakulaumiwa ni UKAWA ambao walikacha kwa masudi kuendelea na bunge. Nia nzuri ya Kikwete kuwaachia wa Tanzania katiba mpya imekwamisha na uroho na ubinafsi wa ukawa
Hiyo katiba ya watanzania ndiyo inajadiliwa au umekurupuka tu...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi Sitta hana mtu wa kumuwajibisha? Jk naye anashindwa nini kuonyesha nguvu ya uraisi kwa kulivunja hili bunge. Mnapo sema mtaendelea na mchakato 2015 mna hakika gani raisi ajae atakubali huu uhuni uliofanywa na bunge la Sitta let alone ccm kushinda.

Mkuu wa kumuwajibisha Sitta ni watanzania bahati mbaya sana tuna piga porojo tu hapa hebu tuingie barabrani na kuhakikishia tukiingia leo kesho hakuna bunge la posho...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wale tulipaswa kwenda kuwafurumusha mle ndani kwa viboko .......... kila siku wanaingiza mfukoni kodi zetu bila soni wala haya ....... Hii nchi ina ombwe la uongozi wa kutisha ........ anakosekana mtu wa kusema neno moja tu biashara ikaisha .........inakera kweli kweli ................. :doh: :frusty::frusty:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...kiukweli kale kazee kamechemsha sana, kanalazimisha tu hata hakaoni aibu. akidi haitimii kamekomaa mpaka wanawatisha wana ccm waliogoma kufanya ujinga huu. baada ya kuona hawatishiki basi kameamua kuwapa fursa ya kupiga kura kule waliko. Wamempa fursa ya kuonekana anabusara kuahirisha mchakato yeye kakomaa tu. hata muuza muuza ugolo hawezi kufanya maamuzi kama haya ya mzee 6...!!

uchakachuaji wa kipumbavu ... eti watu wapige kura nje kwa kitu ambacho hawakuwepo kukijadili na si ajabu hata hawakuandaa ..... ni sawasawa na mtu anayeenda shambani kuvuna wakati anajua hakupanda chochote!
 
Inatia hasira sana mkuu BAK

Tumeshafikia hatua sasa tumezoea hii hali na sisi tumekua sehemu yake kuona hela zetu zinafujwa kirahisi kiasi hiki.
Watu wengi sasa maweshakata tamaa kutokana na philosofia ya uongozi kwa Kaka mkubwa ambao umepelekea wa chini wafanye watakavyo tu...

Naogopa sana mwisho wa huku kutaka kwetu tamaa kutakapofikia yatatokea nini................ Kwa bwana six hii bila shaka ndio fursa yake ya mwisho ya kuchaguliwa atabaki kuteuliwa tu wa walaji wenzie.
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana. Rais wa nchi aliyeunda tume ya Warioba hana mamlaka ya kusimamisha hili Bunge la Posho! Mwenye mamlaka hayo ni huyo fisadi Sitta!!! Hivi hii sheria ya Bunge hili la posho kutoweza kuvunjwa na Rais bali mwenye mamlaka ya kulivunja ni Spika ilitungwa katika kikao kipi cha Bunge? Kama kuna mtu ambaye amewahi kuiona sheria hii hebu aiweka hapa. Kweli hi nchi ni kichwa cha mwendawazimu, Rais wa nchi anaona pesa za walala hoi bilioni 21 zikiteketea bila la maana lolote kufanyika. Rais kauchuna tu!!!

Hivi Kikwete leo hii akiamua kulivunja Bunge hili la posho, mamlaka ambayo hana je, atachukuliwa hatua za kisheria zipi!? Na ni taasisi ipi itakayomchukulia hatua za kisheria Rais? Bunge la posho au Bunge la Jamhuri? au ni Sitta ndiye atampandisha kizimbani Rais? Je, Rais kwa kulivunja Bunge hili la posho na hivyo kunusuru mabilioni ya pesa za walipa kodi anaweza kufungwa au kuondolewa madarakani kwa nguvu!? Ujinga umezidi kukithiri nchi hii.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Do we have scenarios were we mended or went against the constitution? not even for the public interest?
Want do we use the same for halting the CA for the interest of the public even if the president does not have the constitution powers to desolve/halt it?
 
Back
Top Bottom