How Goverment is capable to shutdown internet access

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
252
422
Hello technologist, I would like to hear technically from you, how is goverment could be able to shutdown imternet acces? tumesikia kuwa DRC congo has shutdown internet acces to their country to avoid leakage of election result s sasa ni kuwa wamewazaje kufanya ivo kuna switch yoyote inayoweza kuwa accesed na goverment inayoweza kuzima internet? au wame order kwa makampuni ambayo ni isp kufunga access ya internet if so je nawezaje kuacces internet kama tayari iko blocked, vipi kuhusu sattelite internet kama vsat nayo iko blocked pia
 
Mkuu wanawaambia isp wafunge, hakuna switch. ila satelite internet inawezekana kutumika na assume hio kampuni inayotoa service haina hata ofisi nchi husika ila huduma yao inapatikana ukiwa na dishi.
 
Hakuna switch, ISPs wanazima mitambo.

Nchi zetu hizi nyingi ISP wanakua controlled na government, constitution inaruhusu serikali kua na control kama hiyo. Nchi kama USA serikali haiwezi kuzima internet maana hata wakiwaambia ISPs watagoma na hakuna kitu serikali itaweza kuwafanya.

Kuna njia nnyingi za kuzima, ISP wengine wanazima tu mitambo yao yote inayoruhusu internet access, au wengine wanazima server zinazohusikana DNS queries peke yake, kama Egypt walifanya hivyo, so ukijaribu kubrowse website flani DNS server kwa kua imezimwa computer yako inashindwa kujua ip address ya hiyo website unayotaka kufungua so inafail, hii ni njia ya kikuda though maana mtu anaweza tumia public dns zingine akapata internet, wengi hawajui kuset lakini.
Njia nyingine ni physically kwenda na kukata tu connection, internet ni cable tu zimetuunganisha dunia nzima, ukiondoa satellite, hii pia ni solution ya kijinga maana repair yake itacost hela nyingi sana, na internet connections siku hizi itabidi ukate sehemu nyingi sana kukata internet nchi nzima.
 
Mkuu wanawaambia isp wafunge, hakuna switch. ila satelite internet inawezekana kutumika na assume hio kampuni inayotoa service haina hata ofisi nchi husika ila huduma yao inapatikana ukiwa na dishi.
Mkuu hivi internet ya Satelite gharama za Installation zipoje?
 
Back
Top Bottom