How GOD is smart

Imani ni nini ?
Ni dhana ya kukubali kwamba jambo fulani ni kweli pasi na ushahidi....

Hivi wewe si ndio yule unayeamini peponi utaenda kupewa wanawake 72 bikra, ambao bikra zao zitakuwa haziishi na wala watakuwa hawahisi maumivu wakati wa tendo... (hurul aini)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwako wewe ushahidi ni nini ? Ili ushahidi uitwe au uwe ushahidi inabidi ukidhi vigezo gani ?

Imani sio dhana na haijawahi kuwa dhana.

Imani ni tamko lenye asili ya kiarabu,lenye ya kusadiki kwa moyo na kutamka kwa ulimi. Imani imegawanyika katika sehemu mbili,kuna imani kwa kauli na imani kwa matendo.

Imani kwa mgawanyo wa kukubalika,nao upo wa sehemu mbili,imani sahihi na imani potofu.

Narudi tena kwako,dhana ni mawazo yaliyojenga katika wasi wasi na uongo. Nataka uiweke maana yako katika fasili ya dhana.

Nasubiri majibu ya maswali yangu.

Nipo .....
 
Hivi wewe si ndio yule unayeamini peponi utaenda kupewa wanawake 72 bikra, ambao bikra zao zitakuwa haziishi na wala watakuwa hawahisi maumivu wakati wa tendo... (hurul aini)

Haya maneno naomba uniambie umeyapata wapi ?

Nipo ....
 
hakuna ksehemu inayo itwa jahanamu au kitu kama hicho bali nimaneno ya kusadikika na kuwatisha wale walio ua wakiua mana bii na mitume kwa enzi zile
 
Alimpa option achague awe upande wake au wa shetan hakutaka kutumia nguvu ya kumlazimisha kumfuata Mungu, ili adamu asiseme Mungu amenilazimisha kumtumikia
Katoa option sawa lakini unataka kunuambia kwamba alikuwa hajui atachagua option gani..... kati ya hizo alizompa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
noun

noun: faith

1.

complete trust or confidence in someone or something.

"this restores one's faith in politicians"

synonyms:trust, belief, confidence, conviction, credence, reliance, dependence; More

optimism, hopefulness, hope, expectation

"he completely justified his boss's faith in him"

antonyms:mistrust

2.

strong belief in the doctrines of a religion, based on spiritual conviction rather than proof.


Kama kwa kiarabu ni hivyo basi sawa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The synonym of the word concept is notation , idea, belief.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna swali bado hujajibu nalo ni lakuhusu ushahidi.

Nasubiri jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…