Alumbwagweumutwa
Member
- Jan 7, 2013
- 68
- 24
Nakuunga mkono kwa asilimia 300. Hakuna kiwango kikubwa cha kukosa uzalendo kama kukandia nchi yako mbele ya macho na masikio ya watu wa nataifa mengine.Aliyeleta mada hii ni mpumbavu aliyezidi kipimo cha upumbavu. Ninawachukia watu wanaoichukia nchi yao na kusifia nchi nyingine, huo si uzalendo.
Ni bora tubishane CCM na CDM ndani ya nchi yetu kuliko huu upumbavu. Na mwisho ningependa kumwambia mleta mada kwamba Jeshi la Tanzania linashika namba sita kwa ubora katika majeshi yote ya Africa. Sasa hizi habari za kukandia jeshi letu ukome kabisa na ningekuwa na uwezo wa kujua ulipo ningekufuata na kukukata makofi. Shetani mkubwa wewe.