Nalo ni somo ujue au sababu we ni mwanamke?Mnachekesha...very busy kweli mnafundishana kututongoza![]()
![]()
Proud to be a woman kwa kweli....
Anyways namba sio guarantee plus wewe unaesema kupitia namba sijui unajua mood ya mtu kwa dp,status blah blah,sijui kwa kweli.
As for me hadi uone dp na status labda niwe nimekusave...
Na hadi nikusave labda nakujua
Btw mostly siekagi....
[HASHTAG]#msituchukulie[/HASHTAG] poa
Ovaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Namba ni hatua ya kwanza. Ikianza vizuri una nafasi kubwa ya kufanikisha lengo lako. Sasa ukiomba namba ukanyimwa au kupewa kwa kulazimishs sana si ushajua obvious huyo mtu hana interest na wewe. Its not a guarantee but its a good sign.Nimeamua kuuliza hili swali hapo juu.
Ni kipindi sasa nimekuwa nikisikia wanaume wenzangu wakisema kwamba "Nikishachukua namba tu mimi tayari nimemaliza shughuli" Hapa wakiwa na maana kwamba akipata namba ya msichana fulani basi lazima atamaliza mambo yote, kutongoza mpaka kula.
Sasa nimekuwa nikijiuliza sana kuanzia kipindi chote hicho kwamba kwanini kupata tu namba inakuwa ni one way ticket ya kumpata mwanamke fulani? Na nyie wanawake, ni kwamba huwa mkiwa kwenye convo za simu mnakumbwa na pepo la kujirahisi?
Ningeomba kufahamishwa kidogo, hii mbinu ya kuchukua namba kwanini inatumika kama tactic namba moja ya kumpata mwanamke?
Maana na mimi kidogo nili copy na ku paste huu uraibu wa kuchukua namba kwa kambi ya upinzani lakini sijapata ile output niliyoitegemea. How does it work? 🙄
Ulishawahi kupewa namba Pm?Namba ni hatua ya kwanza. Ikianza vizuri una nafasi kubwa ya kufanikisha lengo lako. Sasa ukiomba namba ukanyimwa au kupewa kwa kulazimishs sana si ushajua obvious huyo mtu hana interest na wewe. Its not a guarantee but its a good sign.

Mnachekesha...very busy kweli mnafundishana kututongoza![]()
![]()
![]()
Proud to be a woman kwa kweli....
Anyways namba sio guarantee plus wewe unaesema kupitia namba sijui unajua mood ya mtu kwa dp,status blah blah,sijui kwa kweli.
As for me hadi uone dp na status labda niwe nimekusave...
Na hadi nikusave labda nakujua![]()
Btw mostly siekagi....
[HASHTAG]#msituchukulie[/HASHTAG] poa
Ovaaa![]()
![]()
![]()
![]()
unajikuta mwenyewe...... Nyie mnajifanya MNA mashauz ndo mnagegedwa saaana..afu watu nyie drama nyingi tuu...lakini weng wenu n washamba
. Wewe umetumwa sio bure.Ulishawahi kupewa namba Pm?![]()
nipe namba scorpio tutachat tuu sina makuu mieMnachekesha...very busy kweli mnafundishana kututongoza![]()
![]()
Proud to be a woman kwa kweli....
Anyways namba sio guarantee plus wewe unaesema kupitia namba sijui unajua mood ya mtu kwa dp,status blah blah,sijui kwa kweli.
As for me hadi uone dp na status labda niwe nimekusave...
Na hadi nikusave labda nakujua
Btw mostly siekagi....
[HASHTAG]#msituchukulie[/HASHTAG] poa
Ovaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Usiniangushe mkuu.Inawezekana kumbe ni kweli kabisa kwamba msichana anavoamua kutoa namba kwamba ameshakuelewa, so hapo ni wewe kumalizia na ku swim with tides. Nimekupata vilivo nadhani baada ya huu uzi creativity itaongezeka