How do you Sleep with your Partner??

Inawezekana huwa unajitanua kitanda kizima, au unamtupia miguu tumboni, au huwa unakoroma na kudondosha udenda. jaribu kulala nae mzungu wa nne leo uone kama kesho atakusema tena.

haha hahhah raha kweli kweli!!!!!!!
 
Nakuchagulia hii

97slee81.jpg

kwanini umemchagulia i?
 
mmh kuna watu wanakoroma jaman ahh...sasa umpate ashalewa au kawaida tu dah kuna njemba zinakoroma utadhani simba yupo apo dirishani..afu anataka kukukumbatia ahh mbona utataman kuhamia uvungun...KWAN WE UNAKOROMA KAKA\/b4 sjakushauri posishonoooo ya malalo!!!!!!
 
Sio mswaki tuu, kama umerudi late na hujaoga basi usisahau kuosha vikwapa pia, maana harufu yake inaweza haribu ladha ya style yoyote ya kulala (kuna wenye harufu mbaya kuliko hata gari la nyonya mavi :(
 
Duh!! Hii kali kwelikweli!! Nipe na style coz hizi ulizotoa zote sina!!

Sio mswaki tuu, kama umerudi late na hujaoga basi usisahau kuosha vikwapa pia, maana harufu yake inaweza haribu ladha ya style yoyote ya kulala (kuna wenye harufu mbaya kuliko hata gari la nyonya mavi :(
 
Hata nichoke vipi siwezi kukoroma Rose so lete Maposition hayo Mama!!

mmh kuna watu wanakoroma jaman ahh...sasa umpate ashalewa au kawaida tu dah kuna njemba zinakoroma utadhani simba yupo apo dirishani..afu anataka kukukumbatia ahh mbona utataman kuhamia uvungun...KWAN WE UNAKOROMA KAKA\/b4 sjakushauri posishonoooo ya malalo!!!!!!
 
dah rose umenichekesha wengine huwa tunaweka magodoro masikioni bila ivo hamna kulala mpaka kuche

mmh kuna watu wanakoroma jaman ahh...sasa umpate ashalewa au kawaida tu dah kuna njemba zinakoroma utadhani simba yupo apo dirishani..afu anataka kukukumbatia ahh mbona utataman kuhamia uvungun...KWAN WE UNAKOROMA KAKA\/b4 sjakushauri posishonoooo ya malalo!!!!!!
 
Inawezekana huwa unajitanua kitanda kizima, au unamtupia miguu tumboni, au huwa unakoroma na kudondosha udenda. jaribu kulala nae mzungu wa nne leo uone kama kesho atakusema tena.
Heee wewe akilala mzungu wa nne si ndo atampiga mwenzie mateke ya mdomoni, unataka mtoto wa watu aamke hana meno.
 
Kama ni hivyo naungana na Poet, au pia inawezekana unalala kama uko peke yako kitandani, maana kuna wanawake wengine wanapenda mpumuliane, au mkumbatiane usiku kucha. Ila ungetuambia huwa unalalaje ingetusaidia zaidi kuona hizo kasoro

Inaonekana eng analaka kama korosho anapinda kitanda kizima mpaka mwenzie anashindwa kujinyoosha. Kuna mi watu mingine inaboaga haijui kula kabisa analala kama anapiga msamba.
 
Back
Top Bottom