SPSS
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 711
- 389
- Thread starter
- #41
apo kwenye trust ndo pagumu mkuu,,hua nina tatizo lakumuamin mwanamke mana uko nyuma i use to do that na matokeo yake hayajawah kuaga positiveUanze kuchukulia mambo kirahisi sana.
Mfanye akupende na kukuamini.
Na wewe mpende na kumuamini.
Tatizo lako kubwa huna TRUST kwa mpenzi wako na hapo ndo tatizo kubwa linatokea.