Hapo jamaa anasema:
"Bibie, nitakupa maraha siku zote hata kama mimi naumia"
Hapo jamaa anasema:
unamaana picha za wanaume wa dar ni za kilaini laini kama hii.Wanaume wa Dar watapondea kwa sababu hawawezi hapo Dume la kinyakyusa limebeba udingizi wake watu wanaona noma