Ila maisha haya jamaa. Wenyewe kwa hiari yao wameamua kujipigia picha katika pozi hilo kuonyesha furaha yao. Mkuu, hiyo picha imekukera vipi mpaka kufikia kuwaita wajinga na washamba?!naita ujinga ulioambatana na ushamba
Huyo ni Wausingizi wake!!!
Acha wivu....mapenzi hayo.....!Insanity
acha tu nionekane nna wivuAcha wivu....mapenzi hayo.....!
Itakua wasukumu hao, hakuna mnyakyusa mshamba wa hivyoWanaume wa Dar watapondea kwa sababu hawawezi hapo Dume la kinyakyusa limebeba udingizi wake watu wanaona noma