Sitaki kuamini kama amelala ..atakuwa anasikilizia mchezo..ila kama kalala atakuwa lofa sana...Huyo jamaa na yeye kalala kindezi,
mcheki fresh tena anaota kabisaSitaki kuamini kama amelala ..atakuwa anasikilizia mchezo..ila kama kalala atakuwa lofa sana...
Wanawake wengi wanacheat kwa sababu, sio kama nyie.. either kapenda huko nje, kwa kutojaliwa ndani au kakosa kutimiziwa haja zake za kimwili!Hahah no i just wanted your opinion, sorry
πππNaona umeamua kuniondoa, ni utani tu mkuu usichulie serious! Ila sababu zipo kibao tu..
View: https://www.instagram.com/p/DVeJpTTiAMQ/?igsh=MTJhY2M1MjU2amMxNQ==
Usijali mkuu, kizuri nachopenda huwa tunaelewana akili zetu mimi na wewe, pia wewe huchukuliagi vitu too seriousππNaona umeamua kuniondoa, ni utani tu mkuu usichulie serious! Ila sababu zipo kibao tu..
View: https://www.instagram.com/p/DVeJpTTiAMQ/?igsh=MTJhY2M1MjU2amMxNQ==
Nipambane na maisha hard copy huku na soft copy tena!! Hahaha never!πUsijali mkuu, kizuri nachopenda huwa tunaelewana akili zetu mimi na wewe, pia wewe huchukuliagi vitu too seriousππ