How do I transfer my photos from iPad to My android phone/Laptop

How do I transfer my photos from iPad to My android phone/Laptop

Hapo kilichokosekana si bluetooth mkuu?
We chomeka ipad yako kwa pc nenda Computer utaikuta ipad yako, then click utakuta picha na video zako kisha hamisha kwa pc then chomeka android yako hamishia huko
Shukrani mkuu mi nilijua computer ya kawaida haiwezi kukubali zaid ya device zao.

Kwa hiyo unaweza kujaza video, audio na photo kwa kutumia computer yoyote ile kwenye iPhone.
 
Tusubiri kwenye iOS 8.1.2 labda
Watarahisisha maana duh hawa jamaaa wako strictly kila pahali,wanachangoto nyingi mno fadhali hata android na windows sasa

Ndoto... iOS 8 ndo itakuja imebanwa zaidi hata jailbreaking watu watatoa machozi... Apple hawawezi badili system yao hata siku moja sababu ndicho kinachowatofautisha na wengine, na hii system inawapa hela ya kutosha tu, mtu anakua mvivu anaona anunue nyimbo kwenye itunes badala ya kuchakachua kuitoa online au kuhamishahamisha kutoka kwa mtu.
 
Back
Top Bottom