How do I look...???

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
final+image+-+black+woman+with+scarf.jpg

HOW DO I LOOOOK!! DON'T BE SHy,PLEASE TELL ME EEEH!! WHAT??? AM LISTENING........................MMMH REALLY?

Shukrani zangu za dhati zikwende kwa mtarajiwa wangu platozoom sehemu yeyote aliko hata kama kwa AmKATRINA, kwa shem wng wa ukweeeee Young_Master shostito na mshauri wangu wa kariiiibu cacico na charminglady, Bishanga, @Kipipi upo? babu kijana Asprin na wakeze na watoto, wajukuu na vitukuu, vilembwe na vilebwekezi. fungua shule ya msingi ntakusaidia. duuuh!

shukran kwa washiriki ingawa walichakachua na hawakushinda Erickb52 na wengineo walioleta maombi yao kwa njia ya pm Taz na wengine wengi majina yamenitoka kichwani.................

kwa kutumia avatar hii mshindi anajijua ila alipendekeza asitwaje hadharani kwa ajili ya sababu za kimapenzi, anahofia usalama wake ameshabagwa na kumiminiwa mara kadhaa wazoefu wa humu watakuwa wanamjua ni......................

kamati ya maandalizi ya zawadi iko mbioni kumshawishi atajwe hadharani akikubali ntarudi na majibu.

Wenu.......
Ummu kulthum Platozoom
 
Back
Top Bottom