ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
- Thread starter
- #141
Hapana, niko na kakijana kangu nakafundisha kulenga shabaha ya vichwa vya watu watakaoingia kwenye anga za baba yake..
![]()
amekomaa mapema huyo kama....................nishajua siri ya mafanikio ya kuwa na familia kubwa eti ifikapo mwaka laki kumi uwe raisi mteule