AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 414
- 366
mmmmh!
Mamito ummu kulthum,
huo mguno wako unaashiria jambo gani usiku huu?
Cku hz Mitala ndo mpango mzima.
Last edited by a moderator:
mmmmh!
Nimekusikia hani........haja ya mja kunena............................!
Hakuna hapa,
Extended Marriage ndo mwake,
jaribu uone papito.
Hakuna hapa,
Extended Marriage ndo mwake,
jaribu uone papito.
umeona eeeh!!!penda,tunza,hifadhi,kosoa,tetea chako,kwani chako ni chako cha mwenzio sio chako,kama mimi na wewe tu! sitaki wa pili kamwe.......
Mamito ummu kulthum,
huo mguno wako unaashiria jambo gani usiku huu?
Cku hz Mitala ndo mpango mzima.
Titi la mama li tamu .................................
naenda kwa mganga wangu MziziMkavu utakiona!
Nyeee!
yaan hilo zoezi la kumshawishi platozoom litakwisha soon ntakapo kugeuza chura
MziziMkavu hawezi shindana na mwanasheria wangu Mtambuzi.
Nawe utaliona timbwili la Mwajuma Ndala ndefu.
Mtu mzima hatishiwi nyau.
Sasa nakuja rasmi kumnyanyua mzima mzima,
platozoom hebu come huku nimekupikia kile chakula ukipendacho papito.
Achana na ummu kulthum bhana ana wake huyo!
Dah!!! yaani shem you loook so mwaaaahhh!!! Yaani you look like an African Queen a girl of platozoom's dreams...Yaani platozoom angechelewa kidogo tu ngingekutongoza mie...natania tu shem...ila kiukweli umependeza sana...embu niletee aliyekuchagulia hii avatar ili nikamtwange kwanza kreti zima la bia halafu ndio nianze kumpongeza.
Koma wewe!
teh teh teh asante shem, sa we mwenyewe umeshachelewa sha wahiwa mwenzio lakini na ww si unae wako?
Dah!!! yaani shem you loook so mwaaaahhh!!! Yaani you look like an African Queen a girl of platozoom's dreams...Yaani platozoom angechelewa kidogo tu ngingekutongoza mie...natania tu shem...ila kiukweli umependeza sana...embu niletee aliyekuchagulia hii avatar ili nikamtwange kwanza kreti zima la bia halafu ndio nianze kumpongeza.
Mtu mzima hatishiwi nyau.
Sasa nakuja rasmi kumnyanyua mzima mzima,
platozoom hebu come huku nimekupikia kile chakula ukipendacho papito.
Achana na ummu kulthum bhana ana wake huyo!
Mie sina shem. Mimi ni single boy