How do I let her go? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How do I let her go?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JM Aristotle, May 23, 2010.

 1. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #1
  May 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa naye kwa muda mrefu sasa... Tunaitana marafiki, lakini ki-ukweli; tunajua ni zaidi ya marafiki... tuna-behave kama wapenzi...
  Lakini imefika wakati, ambapo inabidi nimwache... Ishu ni kwamba sijui nimwacheje! Naogopa kumuumiza...
  Nisaidieni wajameni!!! :confused::confused::confused:
   
 2. T

  The Lady Member

  #2
  May 23, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kaka John, you better tell her the truth japo ataumia, kuliko umcomfort wakati unamdanganya. Unajua imenigusa maana mie binafsi tu nahisi my BF anashida kama hiyo yako. I think we are two and he cant make decision japo sina hakika, maana nahisi yuko busy sana na kama vile kuna kitu ananificha.......just guessing all those, si unajua ukimpenda mtu
   
 3. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #3
  May 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you for your advice!
  Lakini, another thing ni kwamba; nataka tuendelee kuwa marafiki wa kawaida tu... Nothing more...
   
 4. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kaa naye chini umweleze ukweli kistaarabu hatua kwa hatua na sababu za maana then atakuelewa, penzi la kweli huwezi kuliforce. Kama ni mstaarabu atakuelewa na urafiki wenu utaendelea na kuheshimiana pia. Manake kuendelea kukaa kimya ilihali unajua fika kuwa hunampango naye kimapenzi ni kama unampotezea muda kwani anazidi kujenga matumaini makubwa juu yako na kuwaweka pembeni wengine wenye nia takatifu na ya dhati. Akwambiaye ukweli siku zote ndiye rafiki wa kweli. Kama waogopa kumwambia ukweli sasa hivi ati kwa kuwa unaogopa kumuumiza, ikuendelea kuchelewa ndiyo utakuja kumuumiza mara kumi ya sasa hivi kwani anazidi kujenga mizizi ya mapenzi kwako siku hadi siku. Mbona hujatuambia sababu ya kumwacha ni nini?
   
 5. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #5
  May 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa ushauri wako...
  Sababu kubwa ya kutaka kumwacha ni kwamba; At first, tulianza kama marafiki wa kawaida tu, lakini kadiri siku zilivyokwenda, connection ilizidi kuongezeka... Lakini kwa sasa, kwa kweli nikimwangalia, sijioni niki-spend maisha yangu pamoja naye... Lakini ndo hivyo sasa... najiona kama nimefikia"point of no return..."
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwa nini? Ukiweza kujijibu na kutujibu na sisi pia, bisi itakuwa rahisi kwako kufanya uamuzi. Pia sisi tunaweza labda kukupatia ushauri wa maana. Vinginevyo inawezekana unahisi tu kwa sababu hujajaribu mtu mwingine. Ila ujue ukienda kujaribu mwingine utakuwa umempoteza huyu na akili ikikurudia hutampata tena!
   
 7. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #7
  May 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The thing is; yeye ndo amebadilika sana... Sio yule niliyemjua awali... Ni kama mtu mwingine kabisaaa...
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sasa unambebesha lawama kwa kubadilika au na wewe unadhani umechangia kubadilika kwake? Did you try to take her feelings or you took her for granted?
   
 9. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #9
  May 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good question!!!
  I always asked myself that question kama ni mimi niliyechangia yeye kubadilika...
  Lakini nimegundua kwamba; maybe I thought I knew her, lakini sasa ndo naanza kuona rangi zake kamili...
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  So simple....
  just ignore her/his phone calls/sms
  dont think about him/her too much
  avoid his/her company so often
  lastly, just tell him/her that its over....and move on.....
   
 11. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  The same to me! Aisee ngumu sana hii game, Ila kitu nilichohisi labda ni nafasi mlizozifikia kwa sasa,kwa mfano zamani mlikuwa katika nafasi fulani au level flan,imepita muda kadhaa unaona kabisa kwa level hii uliyofikia ni vigumu kuishi na huyo au lingine linaweza likawa ile "ROHO INAPENDA" kumefifia!
   
 12. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  set urself free....... if you go back to her it means u guys were meant to be.
   
 13. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndio maana napenda wazungu wako transparent...

  ...am sorry i dont find you attractive anymore ama am sorry i have found someone else...story inaishia hapo!...it might hurt but after a while you will be glad that you were told that truth...

  BTT acha kumpotezea muda mtoto wa watu,face and tell her as much as you love her,you dont see any future between you two...finito!
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  May 23, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Namwonea huruma huyo mdada kama ka-umri kamesogea, maana ulikuwa unawawekea akina Mr Right kauzibe na kila wakija wanaambiwa "ninaye wangu!" Anyway, kama amebadilika tuambie kama kuna "kidudu mtu" mahali au namna gani? Hata hivyo "Mke mwema anatoka kwa BWANA!"
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  I did that!

  And she is now dead! She poisoned herself 2 months later! Its not that easy!

  John take her one step back at a time! Then you end it!
   
 16. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Oh! real sorry, so u still feel gulty?

  But John u have to do it now! Tell her
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kaka John Nyie ni wapenzi lakini mnaitana marafiki mbele za watu na kwa nini ikawa hivyo ?Nijibu swali langu ili nijue pa kuanzia ?
   
 18. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #18
  May 24, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well! From the first time, tulianza kama marafiki wa kawaida tu...
  Lakini baada ya urafiki wa muda mrefu, tumezoeana mno, na tuna-behave kama wapenzi ingawa bado tunaitana marafiki...
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  John Inabidi umwambie ukweli ingawa ukweli unaumiza siku zote...
  Na-feel maumizi atakayoyapata huyo dada ingawa yatakuwa kwa muda na utakuwa umemsaidia kuliko akae akiamini yuko na wewe lakini roho yako iko kwingine .Mungu alitupa kusahau ..

  Ni kwa nini lakini unataka muachane ??
   
 20. s

  shwishwi Member

  #20
  May 24, 2010
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tell her the truth i hope she will handle well the rejection and btw do not expect her to be your friend anymore....na baada ya hapo do not call her to see howz she's doing coz you will hurt her more. keep your space do not try to be nice to her tayari huwezi ku-spend future na yeye so let her take as it is.
   
Loading...