Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,349 Feb 27, 2013 #4 hahahahahah nyanya na ndimu unakuwa nazo mfukoni mwenyewe hakuna haja ya ketchups hapo
nyabhingi JF-Expert Member Oct 12, 2010 15,513 19,998 Feb 28, 2013 #5 mbona mavyakula yenyewe artificial hayo,naona chata la macdonald,coca cola,zote sumu za kupunguza life span
mbona mavyakula yenyewe artificial hayo,naona chata la macdonald,coca cola,zote sumu za kupunguza life span