How Desperate Dada Zetu Walioolewa na Wazungu

How Desperate Dada Zetu Walioolewa na Wazungu

Yaani maisha yako yote ya kuishi bongo hujasikia group sex za wabongo hadi ulipoenda Ujerumani? Mbona kuna wasichana kibao wameolewa na wazee hapahapa bongo wanateseka sana tu, au sababu ni vizee vya ki Africa haina shida?!
 
Hii habari ina lengo! Usiende nbali....
222.jpg


Mange-Kimambi2.jpg
 
af sijui kwanini wazungu huwa wanaoa wasichana wabaya kiasi hicho yani ukata mbabu wa kizungu kakomaa lisicha linamdomo mkubwa au leusi tiii
 
Mbona kichwa cha habari umeongelea kuolewa na wazungu kwa ujumla alafu maudhui yako yamejikita kweny vibabu/kibabu hicho kimoja unachokifahamu?.Unafikiri hilo unalolijua wewe limetosheleza wewe kuanzisha huu uzi au ulikuwa na agenda nyingine kichwani na huku kwenye keybord unachapa vitu vingine?
 
na wewe sample size yako ni ndogo sana
Hivi nikikuambia mie nimeolewa na mzungu mbabu na naish kama malkia utabadilika?
 
Wazungu watu wanafata mpunga bana hawafati kufa na kuzikana wala nini usishangae wala kuumiza kichwa hiyo ni biashara ilipamba sokoni hasa wadada wanaopenda luxury
 
Back
Top Bottom