How can you let it go?

Pole sana mpenzi..... "I was born alone and I will die alone so no one can cause me a headache! Loving, I have learnt to love myself first because people come and go like a season and now its ME, MYSELF and I!" Decide it in a reasonable voice with intent and act upon it. Mungu akutie nguvu!
 
pole mungu akutie nguvu
ila jifunze kama utapata mahusiano mengine
uonapo dalili ya mawingi tambua kwamba mvua yaweza kunyesha sas basi
kumbuka kuanua nguo mapema mama........maana zaweza lowa na jua limeshazama na usiku umekaribia
usisubiri paka ianze kunyesha maana zitalowa tena...pole sna i know it real hurt but accept
 
Hama eneo hilo haraka

atakupatia mkosi ukizubaa

wanaume wapya wakikuulizia.wataambiwa


ahhh fulani alikuwa nae lakini kamuacha kaoa sasa
as if wewe hufai kuolewa....
Run run
 
Pole kwa masaibu haya. kaza moyo utapata mwingine,huyo hakua halali yako.
 
[JFMP3
unatufundisha nn aisee ?
 
jaribu kuji keep busy , jst as a temporary solution wakati unajaribu to resolve the whole issue
 
I feel you. Mimi kuna sehemu nilikuwa sifiki kabisa kwa kuwa ilikuwa inanikumbusha maumivu. Lakini baada ya kusamehe na kusahau nakwenda muda wowote ule kwa sasa.

Time is the best healer. With time utazoea tu na kuona ni hali ya kawaida.
Masaki si juzi tu hapa? au nachanganya madawa? mara hii umeshasahau?ila ushauri uliompa ni wa kweli na unasaidia, kwanza amsamehe ndio ataweza kumtoa moyoni, la sivyo ataendelea kumlaumu na kujilaumu kwa nini alihama mji kwa nini kibao, jipe moyo utafika tu, tena jichanganye ,nenda out na mashosti, ukifikia muda wa kuddate usione shida date tu mpaka utakutana na mwenza wa maisha
 
Pole sana mamy. Jipe muda utamsahau tu mwaya ila usije ukawa tempted kurudiana nae kama nyumba ndogo utaumia zaidi badala ya kupata relief. Remember that after midnight morning will come.
 

Shantel, hiyo ya juzi bado majeraha yake wala hayajapona. Hiyo ninayozungumzia ni ile ya mara ya kwanza!
 
Hata tukikushauri bado uamuzi katika hili ni mmoja tu, forget, let it go, admit, find another one and last you should know that you are the problem and admit it
if you can be away for sometime.
 

Kwa bahati mbaya sidhani kama utapata jibu zuri hapa kwani kinachokuumiza ni kumbukumbu ambazo itaishia tu..

Ila kwanini usifikirie kuwa sehemu kubwa ya wanaume ni wakatili na wabinafsi sana.. Kwa nini usifikiri kuwa una bahati kubwa kujua ukatili wa BF kabla ya ndoa na si baada ya ndoa? ujioni una bahati? Kama unagundua una bahati kwanini usimshukuru Mungu? na kama unamshukuru Mungu kwa uhusiano kuvunjika ingawa si vile ulivyotaka kwanini unaendelea kuumia?

Anyway, majibu yote unayo mwenyewe na hakuna atakekusaidia kuipa amani Roho yako zaidi ya wewe mwenyewe..

Wadau wengi wamekupa ushauri mzuri "Let bygone be bygone" fanyia kazi hilo..wewe sio wa kwanza kupata zahama hilo wenzako wameshapitia hayo na wamekupa ushauri huo....Gundua kuwa huyo BF hakuwa wako.. na inawezekana kabisa sio wa huyo aliyeolewa naye..Kwani Mungu huwa anawadhibu wakosaji hapa hapa duniani ....Wewe shukuru kwa kukwepa Tsunami!
 
Asanteni wote mlionipa moyo na ushauri mzuri, ni ngumu lakini najua muda unavyozidi kusogea ndio machungu yanavyozidi kupungua, nawashukuru sana
 
Ama kweli JF ni kila kitu, siamini kama mimi ndio nilitoa hii thread kuomba ushauri. Ni mwaka sasa na nimeshasahau maumivu yote na sasa naendelea na maisha yangu kama kawaida. Asanteni wote kwa ushauri wenu
 
Ama kweli JF ni kila kitu, siamini kama mimi ndio nilitoa hii thread kuomba ushauri. Ni mwaka sasa na nimeshasahau maumivu yote na sasa naendelea na maisha yangu kama kawaida. Asanteni wote kwa ushauri wenu


Na siku moja hutaamini kama ni wewe uliwahi kumpenda 'hako kamtu' lol
 
kwan babako huyo? acha akili za abunuasi, tafuta mwingine fasta
 
ni ngumu sana Only TIME can heal broken heart!
jitahidi kuvumilia usishindwe kitakukuta kilichomkuta Ray C! pity on her, i feel so sorry, wengine wamejiua
JIPE MOYO UTAYASHINDA
 
here we go again...jamani long distance ni uongo tuu. jamaa kafanya la maana kukamatia mke hapo hapo alipo. iwe fundisho kwa wengi kuwa ukisha hama mji jua replacement inatafutwa fasta.
 
time will automatically heal you my sister u shouldn't have to worry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…