chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,751
Hebu fikilia kama ingekuwa ni wewe umemtambulisha mshikaji wako kwa huyo do wako, alafu jamaa akawa na mawazo kama yako, akakuchukulia du wako how would you feel..........? ( treat others the way you would like them treat you)
Tamaa mbaya bwana na mwisho wake sio mzuri.Naona uvivu kutype otherwise Ningekupa story moja ambayo ilinitokea pale rafiki yangu alipomchukua demu wangu, ilikuwa noma na mwisho wake ulikuwa mbaya sana kati yao wawili. Mpaka sasa imebaki historia katika wilaya tulipokuwa