kijembeee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 409
- 105
Una mpenzi wako lakini kutokana na mishemishe za dunia mnaonana kwa nadra,na imekua ivo kwa mda mrefu kama miaka mitatu,ikaja kutokea akakutambulisha kwa rafiki yake wa kike,na most of the time mnaspend nae,ghafla unaanza kupata filings kwake,na ukiangalia interms of caring japokua bado ni rafiki lakini anakujali kuliko galfriend wako,and at the sametime galfriend wako anaanza kuleta pozi,ukikaa sometimez unamuona your galfriend as a complete stranger,nashangaa how we came to be together,pia the friend shows interest in you.....
so wanaJF how can you handle this situation?nitashukuru sana serious contributions
so wanaJF how can you handle this situation?nitashukuru sana serious contributions