byeson
Member
- Jul 25, 2019
- 11
- 6
Nimekuwa nikisoma na kusikia kivipi mataifa makubwa kiuchumi Kama China(under Mao the don), uingereza( mapinduzi ya viwanda) yalivoweza kutoka from zero to hero kwa kuonesha struggle walizozipitia Kama taifa.
Sijapata kujua vipi America ili rise.na kufika Hapo ilipo mpka kuwa taifa tishio kiuchumi duniani na nani /akina nani!? Alikuwa/walikuwa waongoza njia KATIKA mageuzi hayo ya kiuchumi ya America.