Houth washambulia meli ya Marekani na Cruise Missile

unajua ni mtu mjinga peke yake anaweza kuamini kwamba hurthi wanaweza au wataweza kupigana na marekani na UK. mnajifariji sana kwa ujinga aisee.
King solomon

yemen is very difficult mountain terrain in arabia
only well train mountain foot soldiers is capable of maybe going there
you cannot drive any motorized equipment in most areas of yemen mountain so only by foot
fight them from air is not enough
yemen soldiers a well known tough and brave fighters even enemies respect them
read about history of all those tried to invade yemen until present time

have a nice day and research about yemen
 
One of the craziest thing US na UK walichofanya ni kuipiga Yemen,Yemen hawakutaka vita na yoyote wao walikua wanawapa hard time Israel ili wasitishe vita tu,,,sasa hawa evil beings wanaingilia ili vita iendelee kufany mambo magumu naona wana lazimisha tuingie kwenye WW3.
Kushambulia meli za kibiashara ilikuwa kutangaza vita na mabeberu.
 
Huu ndio unaitwa ushabiki maandazi, taani USA aipige Gaza Kwa maslahi Gani?
Sa we jiulize anapiga Yemen kwa maslaha gani? Yemen anazuia meli zinazo enda Israel ye America ni nani alazimishe ziende Israel .

Afu anaonyesha anaiogopa Yemen mpaa anakusanya nchi zingine. Kaogopa kwenda peke yake kasindikizwa na muingereza, Australia, South Korea, New Zeland, Baharain, Canada afu kuna wajinga hapa wanasema Yemen ana uwezo gani.

Ikiwa huyo America mnamkuza eti ni super power haoni hata aibu kusema kasaidiwa na hao wajinga.

Mimi naona hizo nchi zote zilizo shiriki watapewa dawa zao na Yemen red sea hakuna meli zao kupita.
 
Wakitaka wapate mafanikio mapema basi wazipige hizo Saudia,Qattar na UAE kwa kutoa anga zao ili zimpige yeye ndugu yao.
Wasiishie kuzilenga meli za Marekani na UK peke yake.
Wapige mpaka ndege za Qattar ambazo nyingi zinapita hapo Yemen
Wapige ndege za Qatar za abiria?
 
Hayo makenge ya Yemen yanajitekenya.

Alafu yakianza kupigwa yale Makina ya South Africa ikawasaidie kupeleka kesi The Hague
 
Sa we jiulize anapiga Yemen kwa maslaha gani? Yemen anazuia meli zinazo enda Israel ye America ni nani alazimishe ziende Israel .

Afu anaonyesha anaiogopa Yemen mpaa anakusanya nchi zingine. Kaogopa kwenda peke yake kasindikizwa na muingereza, Australia, South Korea, New Zeland, Baharain, Canada afu kuna wajinga hapa wanasema Yemen ana uwezo gani.

Ikiwa huyo America mnamkuza eti ni super power haoni hata aibu kusema kasaidiwa na hao wajinga.

Mimi naona hizo nchi zote zilizo shiriki watapewa dawa zao na Yemen red sea hakuna meli zao kupita.
Kiasi Americant aende na kijiji mzee mwenzangu

Sababu Americant ili ashinde vita lazima aende na kijiji

Kama haendi na kijiji anatakiwa atumie nyuklia ndio ashinde vita

Hakuna vita Americant kaenda bila mshirika akashinda ukiona kashinda akiwa mwenyewe ujue katumia nyuklia kama kuna vita Americant kaenda mwenyewe na akashinda bila nyuklia waambie hao pro Americant waje waitaje hapa vita ipi
 
Hayo makenge ya Yemen yanajitekenya.

Alafu yakianza kupigwa yale Makina ya South Africa ikawasaidie kupeleka kesi The Hague
We wacha story nyingi mwambie America mbona hakuna meli zilizoenda Israel? Pili hizi nchi ambazo zilisema zimenda tetea maslaha yao, wambie basi wapitishe Meli zao.

Wamepiga target zote alizo piga Saud Arabia yani hakuna kipya walicho fanya zaid ya kuwauwa askari watano tu wa Yemen.

Mwambie America aonyeshe target alizo piga 😄
 
Makobasi shida sana.

Stori za kwenye vijiwe vya kahawa unazileta hapa!
 
Back
Top Bottom