Houthi wamelipua meli ya Norway iliyokuwa ikielekea Israel

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
Houthi’s warn a ship heading to Israel to stop and after hit it after it ignored the warning calls!

ToI: A missile fired by Yemen’s Houthi rebels struck a Norwegian-flagged tanker in the Red Sea off the coast of Yemen near a key maritime chokepoint, authorities said Tuesday.
According to Hebrew-language reports, the tanker was scheduled to anchor at Ashdod’s port early next month.

Houthi military spokesperson Brig. Gen. Yahya Saree issued a video statement saying the rebels only fired on the vessel when it “rejected all warning calls.”

“All crew members are unhurt and safe,” Belsnes said. “The vessel is now proceeding to a safe port.”
IMG_20231212_175535.jpg
Screenshot_20231212-175327.jpg
 
Kama ni kweli,hii vita itaanza kusambaa...
Kusambaa kwa hii vita nisuala la muda tu kwakweli
Amir abdolahian kutokea pale tehran hua analigusia sana hili suala
Na mwisho leo kasema kua kinachoendelea pale ghaza hakitazuia vita kusambaa eneo lote la Asia magharibi
Houthi kundi teule waendelee kuwatwanga hao wanao kaidi amri zao maana hawana akili
 
Ukimuona Simba mjini,ujue yupo anaemfuga.
wanafugwa na Iran, na Iran alitarajia Israel hataingia kabisa Gaza, alitangaza wazi kwamba endapo Israel wangeingia Gaza basi watakuwa makaburi ya gaza. ameshangaa pamoja na mahandaki yote na makomandoo aliowatrain kwa miaka mingi, Israel ameingia na watu wanasalenda na vichupi. alianza kuhangaika kwa kuwatumia Hezbollah, Israel akawa anajibu mapigo makubwa sana Lebanon hadi jamaa hawataki kurusha rocket tena, manake wao wakirusha roket israel anajua majengo yao kule Lebanon, alikuwa anafuta mtaa mzima kimya kimya. wamestop. ila lengo lilikuwa kumkeep busy Israel na Hezbollah na Hurthi ili apunguze operation yake GAZA. Na israel kwasababu alilijua hilo akauchuna tu akaendelea na operation yake Gaza kwanza ila hata Yemen wapo kwenye kiporo, akimalizana na Gaza ana kiporo cha Hezbollah na Hurthi. hao lazima wafutwe pia. hawezi kufuta Hamas akaendelea kuishi na Hezbollah, atakuwa hajafuta threat yeyote.
 
Kwani sio kweli kwamba ghaza ni makaburi ya wazayuni
Kama kashindwa kuifuta hamas mwezi wa tatu uleeee ataweza Hizbullah
Hizbullah walimpa kipigo mwaka 2006 hatamani hata kuingia nao vitani
Anajua tu kama atapotea ile jumla jamala yaani
 
Poleni sana
Marekani hathubutu kuingia vitani kwasasa
Maana anajua hilo litapelekea lile anguko lale la puuuu
Ila sasa atalazimishwa kumtetea mtoto wa dada ake ikibidi
Nahapo ndio itakua watu washamaliza mchezo wao
Houthi kundi teule
Marekani haogopi kuingia vitani kwasababu nyengine yeyote, ila kwasababu anajiandaa kwa uchaguzi, na akilazimika ataingia tu vitani kwasababu hata pale middle east ana washirika wengi. hao hurthi ni maadui wakubwa wa Saudi Arabia, na Iran imekuwa ikiwatumia hurthi kumpiga saudia. walisharusha hadi hizo rocket hadi saudia mara nyingi. hivyo hivyo kwa Qatar, ni adui yao. akiamua kuingia vita na hao ataungwa mkono na saudia na nchi za kisuni zote. hao jamaa ni muda tu, watafutwa, though dunia inaangalia kwa jicho la pini na wao wanatake hilo kama advantage, nchini yemen vita imesababisha watu wanaishi kama panya, utapiamlo ule wa ethiopia, somalia na sudani kusini miaka ileee ambapo watoto wamebaki mifupa tu, ndio unaotafuta watoto wa Yemen sasaivi, Iran yupo tayari kutumia waarabu wafe kwa njaa, watoto wateseke na mazingira magumu ila yeye atimize lengo lake la kuisumbua Israel. ajabu yake, watoto wa Iran na watoto wa Israel wanaendelea na maisha.
 
Kwani sio kweli kwamba ghaza ni makaburi ya wazayuni
Kama kashindwa kuifuta hamas mwezi wa tatu uleeee ataweza Hizbullah
Hizbullah walimpa kipigo mwaka 2006 hatamani hata kuingia nao vitani
Anajua tu kama atapotea ile jumla jamala yaani
wala sio makaburi ya wazayuni, wanajeshi wa israel waliokufa GAza hadi leo ni 80, ila HAMAS hawahesabiki. na wanachukuliwa wanaenda kuzikwa kwao israel. pia, fikirieni Iran anachofanya, badala ya kusaidia waarabu na wasuni wenzenu, anawatumia kama zana ya ugomvi na israel.
download (1).jpeg
6yemen_5.jpg
 
Back
Top Bottom