Marekani imezitaka meli zake zikae mbali na Red Sea / pwani ya Yemen

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,584
36,825
Baada Marekani baada ya kuona Israeli anafaidi kula kichapo toka kwa Hamas sasa na yeye kajiingiza mzima mzima huko Yemen na ameshaanza kulia lia kabla hata hajaanza kushulikiwa na Wapiganaji wa Houth.

#BREAKING: Washington warns American ships to stay away from the coast of Yemen

US Navy: “We warn the ships carrying the US flag to stay away from the areas near Yemen in the Red Sea.”

Press Association news agency: “This warning was issued after the Yemeni authorities emphasized that they would respond to the attacks of the United States and England this morning.”
IMG_20240113_152010.jpg
 
Satellite images show Yemeni sites before and after the US and British strikes.

Houthis say no military infrastructure or storage of importance was hit, since it’s all under ground.

I can’t judge for sure, but doesn’t look that crucial, couple of airfields and such.
 
Baada Marekani baada ya kuona Israeli anafaidi kula kichapo toka kwa Hamas sasa na yeye kajiingiza mzima mzima huko Yemen na ameshaanza kulia lia kabla hata hajaanza kushulikiwa na Wapiganaji wa Houth.

#BREAKING: Washington warns American ships to stay away from the coast of Yemen

US Navy: “We warn the ships carrying the US flag to stay away from the areas near Yemen in the Red Sea.”

Press Association news agency: “This warning was issued after the Yemeni authorities emphasized that they would respond to the attacks of the United States and England this morning.”View attachment 2870545
Ni bora wafanye hivyo.
 
Satellite images show Yemeni sites before and after the US and British strikes.

Houthis say no military infrastructure or storage of importance was hit, since it’s all under ground.

I can’t judge for sure, but doesn’t look that crucial, couple of airfields and such.
Siku hizi kila mpiganaji mzuri huwa anajichimbia chini ya ardhi.
Mambo ya kukaa kwenye maghorofa ni ya kale.
 
Hata kwa meli ambazo si mali/hazina bendera ya marekani si salama kupita red sea kwa hali ya sasa.
 
Ukitaka kujua America na Muingereza huwa hawana akili kwenye vita tazama, wamenda piga Air force base haina hata ndege 😄 Wameishia kupiga matank na badhi ya fake missiles alizo weka Al houth kama 10 vile, sababu walisha jua US anakuja shambulia walitumiwa ujumbe kwa njia ya Oman.

Sa hi ni vita au miijisifa unamuambia mtu nakuja kukushambulia unadhani nani atakuwekea silaha zake upige.

Yani gharama zote zile na bado unatoka tupu kweli ndio mana watu waliwaita ma 🐄 boi

View: https://youtu.be/GUcFTO-AUEo?si=OdNyJv9cvglg1PXT
 
For the US and UK and other Western nations, what they are doing is senseless.
UAS na Uk wanaangaika sana kwasababu ya Israel na watapata shida sana kwa sababu ya Israel. Yaani Netanyau akikohoa hawalali sijui kuna siri gani ktk haya mataifa matatu
 
Ukitaka kujua America na Muingereza huwa hawana akili kwenye vita tazama, wamenda piga Air force base haina hata ndege 😄 Wameishia kupiga matank na badhi ya fake missiles alizo weka Al houth kama 10 vile, sababu walisha jua US anakuja shambulia walitumiwa ujumbe kwa njia ya Oman.

Sa hi ni vita au miijisifa unamuambia mtu nakuja kukushambulia unadhani nani atakuwekea silaha zake upige.

Yani gharama zote zile na bado unatoka tupu kweli ndio mana watu waliwaita ma 🐄 boi

View: https://youtu.be/GUcFTO-AUEo?si=OdNyJv9cvglg1PXT

kwahiyo wewe unafahamu yemen vizur kuliko wao hasa kwenye issue za medani?
 
Nionyeshe wapi Yemen kasema silaha zake zimepigwa zilikuwa juu ya Air port hata Saud Arabia alipiga target hivyo hivyo akajikuta alikuwa anapiga kumbe si silaha.

Silaha za Yemen ziko chini ya Majabali kuzifikia ni kazi sana we huoni America kisha kimbia Red Sea.

Sa jiulize ubabe wake umeishia wapi, hakuna kitu kinaenda Israel na Yemen kasema kama hakuna chakula kinaenda Gaza basi hakuna mtu atapita Red Sea si America, Uingereza, Australia, New Zealand, Canada, Israel, South Korea na Baharain
 
Back
Top Bottom