Houth washambulia meli ya Marekani na Cruise Missile

One of the craziest thing US na UK walichofanya ni kuipiga Yemen,Yemen hawakutaka vita na yoyote wao walikua wanawapa hard time Israel ili wasitishe vita tu,,,sasa hawa evil beings wanaingilia ili vita iendelee kufany mambo magumu naona wana lazimisha tuingie kwenye WW3.
Yemen atafinywa na atatulia na hakuna vita ya3 itatokea
 
Kwamba hujasikia wala kuona utitiri wa meli zilizoshambuliwa na Houthi na pia kuzuia meli nyingine kukatiza Suez?

Kwani ni meli zote zinazopita Suez zinakuwa zimebeba silaha kuwapelekea Israel?

Halafu WWIII haiwezi ikasababishwa na kamgogoro kama hako ka hao wanamgambo wa Hamas, Houthi n.k
Unajua final touch iliyosababisha WWII?
 
Kwamba hujasikia wala kuona utitiri wa meli zilizoshambuliwa na Houthi na pia kuzuia meli nyingine kukatiza Suez?

Kwani ni meli zote zinazopita Suez zinakuwa zimebeba silaha kuwapelekea Israel?

Halafu WWIII haiwezi ikasababishwa na kamgogoro kama hako ka hao wanamgambo wa Hamas, Houthi n.k
Unajua final touch iliyosababisha WW
 
We wacha story nyingi mwambie America mbona hakuna meli zilizoenda Israel? Pili hizi nchi ambazo zilisema zimenda tetea maslaha yao, wambie basi wapitishe Meli zao.

Wamepiga target zote alizo piga Saud Arabia yani hakuna kipya walicho fanya zaid ya kuwauwa askari watano tu wa Yemen.

Mwambie America aonyeshe target alizo piga
Americant na Uingereza kweli wajinga na hawana akili

Israhell kapigana ama anapigana na hamas miezi mitatu sasa na kashindwa kumaliza nguvu zao

Eti wao leo wanadai kwamba mashambulizi ya jana waliofanya yamevunja uwezo wa houthi wakuteka meli

Americant na Uingereza wanatapa tapa yaani hawana jipya
 
Kwani we akilini mwako nani anaye pigana na Hamasi unadhani Israel? Yule Israel ni kama mbwa wao anambiwa fanya hivi fanya hivi.

American kachezea pabaya hapo Middle East ndio apasahau yeye na muingereza.

Yemen mambo ya vita ndio utamaduni wao nyie tulieni muone kama America hajakimbilia Oman kuomba yaishe na Myemen na yuko tayari kulipa fedha anazo taka Yemen
Ya Iraq ilikua hivi hivi misifa kibao mwisho sadam kakamatwa Kama kuku anayelalia mayai anasubiri akong'otoe tu midevu vululu vululu wakamuua.
 
Hayo maneno matupu hayatafanya lolote lamaana

Hata kule ukraine wote walikua pamoja hao na wameshindwa kuiondoa Russia kwenye ardhi za ukraine

Hakuna meli itapita kwenda ama kutoka israhell mpaka ghaza iwe huru
Russia wameshamdumaza huoni harakati zake nje ya ukraine na ndio lengo la beberu

Ukraine anazidi kuongezewa vifurushi vya misaada this means Russia has a long way to go..
 
Houth wa Nchini yemen wameiahambulia meli ya kivita ya Marekani kwa makombora na kuonya kua itazamisha meli za US na UK na yoyote atakaye toa anga lake kwa magaidi wa US na UK watakua vitani na wao

BREAKING:

Yemen's Houthis launched cruise missiles towards US navy ships.

“If you open your airspace to US and UK, you will officially be at war with us.” - Houthis warned Saudi Arabia, Qatar and UAE.
#YemenView attachment 2869404
Kimeumana tindo na nyundo.
 
Saudia na UAE ndio nchi ambazo Marekani ana maslahi nazo makubwa ya kiuchumi kuliko nchi nyingine yoyote hapo mashariki ya kati na pia kote kuna Us Military base.
Hapo Houth hawatakiwi kujiuliza mara mbili ni kuanza kutwanga tu visima vyao vya mafuta wenyewe wataomba kusimamisha vita.
Houthi sasa hivi nguvu zao zote wanatakiwa wazielekeze Saudia.

Sent from my Infinix X6831 using JamiiForums mobile app
hahahahaha unazani ni rahisi kama unavyo Sema?

Yemen ni nchi masikini apo Middle East kurusha Ata kombola moja Saudia

Yemen itafutwa yote hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine zitabaki kelele za pray for Yemen tu
 
Hamna namna hiyo ndio option pekee ya kudeal na houth ,sababu wamevuruga biashara ya usafirishaji wa mijini .ingawa tunajua hawajamaa wanaazishaga vita ila maji yakizidi unga wanatafuta airtime ya kwamba wanapigwa sababu wao ni waislam ili kutaka kuungwa mkono na waarabu ,kitu ambacho si kweli.
 
Ok
Kwani we akilini mwako nani anaye pigana na Hamasi unadhani Israel? Yule Israel ni kama mbwa wao anambiwa fanya hivi fanya hivi.

American kachezea pabaya hapo Middle East ndio apasahau yeye na muingereza.

Yemen mambo ya vita ndio utamaduni wao nyie tulieni muone kama America hajakimbilia Oman kuomba yaishe na Myemen na yuko tayari kulipa fedha anazo taka Yemen
 
Wakitaka wapate mafanikio mapema basi wazipige hizo Saudia,Qattar na UAE kwa kutoa anga zao ili zimpige yeye ndugu yao.
Wasiishie kuzilenga meli za Marekani na UK peke yake.
Wapige mpaka ndege za Qattar ambazo nyingi zinapita hapo Yemen
HOUTHI ni SHIA.
Hawezi pigana na Shia mwenzake

Kumbuka hata "financially" ana sapotiwa na Iran ambaye ni Shia mwenzake.

Wakipigana na Shia ni Sunni UAE na SAUDIA.

#YNWA
 
Russia wameshamdumaza huoni harakati zake nje ya ukraine na ndio lengo la beberu

Ukraine anazidi kuongezewa vifurushi vya misaada this means Russia has a long way to go..
Harakati zipi ambazo huzioni nje ya ukraine ama harakati za nini unazozikusudia😀

Juzi kafungua kinu kikubwa zaidi kule ukanda wa Caucasians cha nyuklia kikubwa kabisa

Juzi kafungua ubalizi pale mali kama sijakosea baada ya kupita miaka 30 ya kufungwa kwake

Juzi kapiga joint naval exercise yeye na uchina

Juzi kulikua na team yake ipo pale korea kaskazini

Juzi kulikua na watu wake wameenda kule iran

Unaongelea harakati zipi za Russia nje ya ukraine labda? 🤔
 
hahahahaha unazani ni rahisi kama unavyo Sema?

Yemen ni nchi masikini apo Middle East kurusha Ata kombola moja Saudia

Yemen itafutwa yote hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine zitabaki kelele za pray for Yemen tu
Fuatilieni mambo vijana 😀

Saudia akiungwa mkono na shost zake Americant Uingereza Sudan israhell bahrain uae nawengine

Walijufanya kuipiga yemen ili waifute houthi kilicho wakuta saudia hawatakaa wasahau

Visima vyake vya mafuta vile vya saudi Aramco vilitwangwa sana kuna muda vikawa vinafunga mpaka uzalishaji ila bado yemen na houthi haikufutwa

Mwisho saudia akaamua aongee na yemen ili aitambue houthi
 
Back
Top Bottom