Mkuu wanakata kodi
zinakatwa kodi mkuu..
any allowance (Posho) or benefit in kind (malupulupu) from the employer to employee is taxable under income act
pitia Act Section 3, 27 kidogo utapata mwanga
Ikiwa ndani ya taasisi wafanyakazi woote wanapata hiyo allowance bila ubaguzi na kwakiwango sawa,hapo kodi haikatwi..
Ila ikiwa allowance inatolewa kwa vigezo flani flani kama ngazi za mshahara,basi hapo kodi itakatwa.....

Nimeumia sana!
July napaswa kuanza kulipwa housing, transport allowances, nikajua si haba, ntapoza maumivu ya makato ya salary! Kumbe mpk huku pia watanifuata!
Daah!
Hapo ndipo sheria zetu za kodi zinapokuwa na mapungufu.
Businessman anaruhusiwa ku deduct;rent,transport,vocha anazotumia etc.kile kinachobaki ndio kinapigiwa kiasi gani alipe kodi.
Lakini mfanyakazi zile gharama anazoingia ili apate income kama hizo transport,housing hawaruhusu deduction

1.2 m gross kodi 230000