Housegirl | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Housegirl

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by bingu wa m, Aug 10, 2011.

 1. b

  bingu wa m Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leo nilialikwa kwa jamaa yangu,baada ya kumaliza msosi nikaulizia toothpicks mwenye nyumba akamwuuliza housegirl toothpicks iko wapi? house girl nikitu gani baba hicho?jamaa akafafanua ni vile vijiti vya meno.housegirl akaseme baba imeisha,jamaa akaja juu imeishaje na hali nimenunua juzi tu wacha mchezo umetupa? house girl akasema labda watoto wametupa mimi nikitumia narudishiaga.
   
 2. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ausgal ni akina upulke au ndilumba, ila iko bomba saana
   
 3. P

  PROF FUNGO Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kamweneeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!! kwikwikwi..............
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  reposted!!
   
Loading...