Houseboy

Status
Not open for further replies.
Amekuona kuwa unakaa kihasarahasara fulani mbele yake...
Kijana kama huyo hawezi kujianzia from nowhere akusemeshe neno kama hilo...
Aidha anajua unapendelea sana mambo ya ngono au kuangalia porno openly na huenda story zako muda wote zinaelekeana kunako maeneo!

Tatizo wadada wa siku hizi hata kama kaolewa unakuta the way anavyojiweka kimavazi mpaka kujichanganya na watu hazingatii kwamba yeye tayari yuko kwenye kundi jingine la wanandoa...........enzi zetu sisi mke wa mtu utamjua tu.......the she carries and behave herself very different from these day wives!
 
nafiikiri wewe ni mwanamke mwenye uwezo mdogo sana wa kuchukua maamuzi ya busara, yaani hauna busara kabisa. kama wewe umeolewa, na sio malaya, jambo kama hilo ni la kulifyatua mara moja asije akakufanya umtende Mume wako pamoja na Mungu dhambi...tatizo ni kwamba, wewe pia una tamaa ya kufanya naye uzinzi ndio maana uko njia panda, unataka na hautaki.....mume wako ana hasara sana kumpata mwanamke kama wewe!

Huu tuuiite ushauri, lawama, kuwa mpole tu anaomba afanyeje sio kumwita mtu malaya kabla hujamwona. Leo watu mbona mnahasira sana?? Au ada zinachengua nini maana comments nyingi za hii thread zina kama hasira fulani hivi. Maoni lakini Pole sana
 
Dena ukichanganya na Dowans, ada nk mhhh hasira full kujiachia hahahahahahah lol
 
Dena ukichanganya na Dowans, ada nk mhhh hasira full kujiachia hahahahahahah lol

Nimekusoma tayari maana duuhh mpaka nataka kusign out maanammmhh kama wewe ulivyokuja nikaogopa kucomment kitu kwanza mpaka ulivyotulia
 
huyu mtoa mada mbona haonekani? au amezarau ma ushauri yetu na ashaenda kujiachia na hauziboi?
 
huyu mtoa mada mbona haonekani? au amezarau ma ushauri yetu na ashaenda kujiachia na hauziboi?

mmmmhhh wewe
mtoa mada kaenda kuchua red bull atarudi...
maana majibu aliyopata mwanzo yamemkatisha miguu...
ni wa siku nyingi lakini 2007
 
Kasura, kafigure kweli vipo kama waniona vile. Poa nitamfukuza tu ila itabidi kujipanga maana nauli ya treni + Meli mpaka afike huko ni kasheshe kwa kipindi hiki cha Januari na ada zote tulizotoa

hapa naona alama ya hatari utakuwa usham- mind wewe......shamba boy atakuwa kakomaa komaa na kujazia jazia sasa ukimlingani na baba mjengo hapo amabaye kitambi kisha-engage unatamani shughuli ya kijana huyo......hayo mambo ucjaribu ukigusa tu umenata!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom