Brilliant idea! Hapa sasa umeongea pointWakuu mimi mambo ya NRNE au sijui vita vya iran na israel hayanihusu.
Kuna muda huwa nadhan mimi chimbuko langu ni walatini sababu likija swala la starehe ninastareheka haswa, dont get it wrong kwenye kazi nafanya kazi haswa. I'm just someone who once am set up to do something I do it to the fullest, be it work, fun, s3x, you name it.....
Leo usiku huu nmepata idea kuanzisha uzi maalum wa kupeana update za house parties. Juzi tulikua na house party lakini kukawa na upungufu wa watu, swala lililopelekea party kutonoga.
Hivyo kama ukiwa na houseparty, njoo hapa utujulishe pamoja na kiingilio kisha wanaoweza waje kuburudika pamoja.
Madame B mzabzab Half american KENZY Mshana Jr Lamomy Leejay49 cocastic Nifah na wengineo iwafikie
Kwamba ujiroge kwenda uone [emoji23]TISS wamekuja kishamba sana..[emoji28]
Nmeacha mkuuHuwezi kuacha pombe, labda hujawahi kuwa mlevi.
Sema umeenda likizo kidogo
Hio ya juzi wadada walikua wawili wanaume watano, aisee kuna madem ni malaya mbwa, wligawa upendo kwa mtu nne mie sikugusa nikasepa zangu baada ya kunywaAisee sitasahau siku nimeenda house party tukajikuta wanaume watatu na wadada kumi na moja, kidogo nife kwa kutembeza mshedede 😂😂.
Wasio na hofu watakuja mkuuhofu yako tu
Sawa, ngoja nikujulishe lini na wapi kisha nitakupa taarifa.Wakuu mimi mambo ya NRNE au sijui vita vya iran na israel hayanihusu.
Kuna muda huwa nadhan mimi chimbuko langu ni walatini sababu likija swala la starehe ninastareheka haswa, dont get it wrong kwenye kazi nafanya kazi haswa. I'm just someone who once am set up to do something I do it to the fullest, be it work, fun, s3x, you name it.....
Leo usiku huu nmepata idea kuanzisha uzi maalum wa kupeana update za house parties. Juzi tulikua na house party lakini kukawa na upungufu wa watu, swala lililopelekea party kutonoga.
Hivyo kama ukiwa na houseparty, njoo hapa utujulishe pamoja na kiingilio kisha wanaoweza waje kuburudika pamoja.
Madame B mzabzab Half american KENZY Mshana Jr Lamomy Leejay49 cocastic Nifah na wengineo iwafikie
Tendo la ndoa je unafagilia.Sema uzinzi siufagilii lasivyo ningewapa ratiba