Hamkawii!!!
Maana leo mlivyoishupalia hii mada,itabidi niwe very selective when it comes to kuajiri msichana wa kazi na akimzoea tu fadher house ajue safari imewadia!!!!
Good...bora umelijua hilo but wengi wetunumbuje tume argue from a humanitarian point of view tu..wale nao ni wanawake...so kila.mtu akitimiza wajibu wake mambo mswanoooo
House girl mimi hanipikii,hata chai hagusi,yy afue,adeki,aoshe vyombo na kazi nyingine,mi nikigundua mwanaume ana mwanamke yeyote atajibeba,mwili wngu hatokaa akaugusa,sitomsaliti ila kamwe kama nilikua namjali basi huo utakua mwisho mpaka atakapohama aniache nilee wanangu! Aende tena afike salamaaaa
suppose anajua kufua hyo pichu na chiu akaosha vuzuri, will it be okay?
Hiyo nayo ni issue maana kasema hawajui kufua pichu na kuiosha hiyo... sasa kama anajua kuiosha vizuri, na chupi zake za rangi nyeupe bila doa je kwa kumanisha kwake kwamba ni wachafu, je hawa wasafi ni halali? Na je kama ni mchafu unakuwaje umwachie mwanao akulele na kumwosha vizuri na kumlisha chakula safi na hata hapati magonjwa ya uchafu? Je unapomwacha jikoni apike chakula chako na sana hata cha mmeo, atenge chakula hicho mezani na kumwita mmeo akale wewe wakati umeweka mguu juu lawama kwa nani? Kwa HSGL au kwako kwa kushindwa kuwajibika? Kibaya zaidi mnaondoka hata bila kutandika vitanda na kuwaachia watandike hiyo nayo unasemaje?
Kweli mm nafanya hvyo,alipotafuta wa kunireplace alikua na maana kua simfai,ni dharau tosha,so sioni shida kumfanyia vimbwanga nyumba aione chungu,aondoke mwenyewe bila kuaga,mume asiejiheshimu wa nini?khaaaMakosa kwa binadam yapo hivyo kuna kusamehe pia dada yangu naona umekuwa mkali kweli kweli angalia na kusamehe kupo ili nawe usamehewe.
kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto
hatujui kuishi vizuri na wadada wa nyumbani.
Kama unamchukulia kama mdogo wako, unamfanyia na kumtimizia mahitaji kama anayostahili binadam wa kawaida lazma akupende. Na baba bazazi atakavyoanza kummendea lazma atakwambia tu.
Hg wala hana uchafu, labda mama mwenye nyumba ndo mchafu, sababu anakufulia na kukuwekea safi nyumba yako atakuwaje mchafu.
Dont ever under estimate the power of hg, ila cha kufanya tu kama hutaweza kuishi bila hg basi lazma umpemde na uwe nae karibu kwa usalama wa ndoa yako
aiseee.....imetafuna kwakoView attachment 160707 nyie mnaosubiria kufuliwa chupi na wake zenu mtasubiri saaaana,siku hizi tupo kijitale
Katika haya maisha nimeshajifunza mengi sanaa, both the good and the bad ila namshukuru Mungu siku zote kwa kila jambo. I would hardly talk of my past not unless i am prompted to do so as in the case of this post. Maisha ni safari ndefu yenye mambo mengi sana ya kujifunza but if there's one thing that i have learnt so far is that "you can be whatever you wanna be as long as you put your mind into doing it." Nilikua naupendaga sana ule wimbo wa NAS- I Can
Akili 0.001%
aiseee.....imetafuna kwako