Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,264
- 542
- Thread starter
-
- #181
hatujui kuishi vizuri na wadada wa nyumbani.
Kama unamchukulia kama mdogo wako, unamfanyia na kumtimizia mahitaji kama anayostahili binadam wa kawaida lazma akupende. Na baba bazazi atakavyoanza kummendea lazma atakwambia tu.
Hg wala hana uchafu, labda mama mwenye nyumba ndo mchafu, sababu anakufulia na kukuwekea safi nyumba yako atakuwaje mchafu.
Dont ever under estimate the power of hg, ila cha kufanya tu kama hutaweza kuishi bila hg basi lazma umpemde na uwe nae karibu kwa usalama wa ndoa yako
likely umeibiwa mume na hg? pole,dunia tunapitaaaaaaaa,sitegemei kula beki 3.....na zero grazing ni hatari sana,fumanizi njenje...
hop hawa watu huwajui na km unawajua umebahatika. kuna mdada alileta thread hapa kwamba alikuwa anaish na hg yatima na alimpenda kuliko ndugu zake. lkn mwisho wa yote alizaa na mmewe. ni wachache wanaoweza kukumbuka hisan lkn weng wao wanafanyaga mapinduz hata hujipendekeze vip moyon anakucheka.
Ni kukosa heshima na utu dhidi ya mahg kusema wachafu. Uchafu ni hulka ya mtu. Kwani wapo wanawake warembo kwa nje ila ni wachafu kweli wananuka mkojo na jasho kali. La msingi ni mke kujua wajibu wako kwa mume na kutimiza. Ukishindwa utasaidiwa tu
hop hawa watu huwajui na km unawajua umebahatika. kuna mdada alileta thread hapa kwamba alikuwa anaish na hg yatima na alimpenda kuliko ndugu zake. lkn mwisho wa yote alizaa na mmewe. ni wachache wanaoweza kukumbuka hisan lkn weng wao wanafanyaga mapinduz hata hujipendekeze vip moyon anakucheka.
Thats my girl. Well said love.
Know what? Am proud of you. You are a real woman.
Umeona enheeee...twende zetu basi baby....ukalambe dawa coz nadhani unaona mwenyewe naman nilivyo kamilika au aunasemaje baby......kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto
kumekucha kweli maana tatizo linaanzia kwa hawa wake zetu, mfano unamke ikifika mda wa kulala complain nyiingi mara nimechoka mara oo tutafanya kesho shida tupu, unategemea kesho ntapoza wapi hiyo munkari?? ni HG tu kwanza HG hana gharama sana pia ukizingatia ni mmbichi bado joto lake liko juu ,