House girl needed urgently

House girl needed urgently

kalamu ya chuma

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
214
Reaction score
63
Ninahitaji mfanyakazi wa ndani na nje ya nyumba kwa shughuli za nyumbani,awe mwenye weledi wa kazi na asiyependa kwenda kwa majirani au kuleta watu nyumbani na asiyependa mazoea na watu bila sababu, zaidi ya yote awe mwaminifu,bei ni maelewano.

Tafadhali tuwasiliane.
 
Una dstv , soft drinks na ac sitting room uniajiriii mimi
 
una watoto kama ndio ukimpata mpeleke polisi wampige picha fingerprints na k.n la sivyo umekwisha hata kama huna mtoto peleka polisi kwanza
 
Humu utapata matapeli na wehu tu mkuu, badili strategy ya kuwatafuta. Ni vyema utumie nduguzo walio bush.
 
Mkuu naomba wife aje kufanya kazi hapo kwako... au lazima alale kwako..???
 
mim niko tiyar nitakufanyia kazi proffessionally nitapenda watoto wako kamwe huoniagiza gazi. mshahara laki 7 tu. naomba jibu.
 
Hii ajira kiboko,
Yaani unatafuta mfanyakazi wa ndani na nje ya nyumba.
Mbona utata tangazo lako.

Siku hizi watu wanatafuta wafanyakazi watu wazima.
Sasa kuna DADA yake BI KIDUDE,sema nikuunganishie,Yeye mshahara wake ni Ndoo ya Ugoro tu kwa mwezi.
Napia huwa hapendi kukatiwa stim wakati wa kupiga ugoro wake.
 
Haaaa jamani ndani na nje ni kuwa atafanya usafi wa ndani ikiwa ni pamoja na upishi na usafi wa nje ya nyumba, mshahara kwa kweli ni sh 50,000/- maana hutumikishwi.
 
Back
Top Bottom