House girl kanikomesha

House girl kanikomesha

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
113
Reaction score
55
Sina hamu mimi jamani! House girl kaniibia, kavunja mlango wa bedroom kaniibia mpaka bra na anda wea. Kwao hajafika tangu jumamosi hata wazazi wake wanamtafuta. Nina machungu hapa siwezi eleza.
 
Pole sana Mkuu kama una mume chunguza vizuri usikute amepangishiwa
 
Pole usilie sana inawezekana na wewe hujamlipa mshahara kwa miezi mi 3 etc lakini usihofu polisi wa intelligensia ya MMU watamu apprehend
 
hizo bra na pichu anapeleka kwa MGANGAaaaaa....anakuundia zengwe
 
Pole usilie sana inawezekana na wewe hujamlipa mshahara kwa miezi mi 3 etc lakini usihofu polisi wa intelligensia ya MMU watamu apprehend

House girl gani anacheleweshewa mshahara miaka hii akasubiri miezi mitatu?
 
House girl gani anacheleweshewa mshahara miaka hii akasubiri miezi mitatu?

Hatujui tunahitaji maelezo yake pia upande wa utetezi huenda amejilipa mshahara wake isivyo halali(in afande Tibaigana voice)
 
Pole ila ulikua haumnyanyasi kweli maana amekukomesha kwelikweli..khaa
 
Pole ila ulikua haumnyanyasi kweli maana amekukomesha kwelikweli..khaa

My dia house girl wa siku hizi yupi ananyanyaswa, na wazazi wake wanijua vizuri wasingekubali niishi naye miaka minne kama nilikuwa namnyanyasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom