House girl awawekea sumu familia ya kihindi

Alichofanya Hausigeli sio chema kabisa.Hata kudai haki kuna vyama vingeweza kumsaidia apate haki yake.Lakini ni somo kwa WAAJIRI WOTE(Hasa RAISI).Usiwachukulie poa au kuwadharau/kuwanyanyasa WAFANYAKZI wako kwa namna yoyote ile.Tafuta njia za kuwamotisha iwe kwa PESA,RECOGNITION na hata RESPECT.usipofanya hayo ndio matokeo haya ya sumu(sumu zipo za aina nyingi).
 
Very nice observation Charity. Hii inaashiria kabisa kwamba housegirl huyo alikuwa anabaguliwa wakati wa chakula. Familia inakula chakula tofauti na anachokula yeye, ama hata kama wote wanakula chakula cha aina moja, basi yeye anakula peke yake jikoni, na siyo dining room. Ndio maana ikawa rahisi kuwawekea sumu. Kama familia ingekuwa na utaratibu wa kula chakula pamoja na housegirl (kwa kuwa naye ni sehemu ya familia) ingemuwia vigumu hata kuwawekea sumu.
 
Mhesimiwa Amoeba, house girls ni watoto wa kawaida wanaotoka kwenye ndani ya jamii zetu. Sio sio wauaji kama unavyosema. Sina uhakika huko kwenye familia yako unaye na ninamna gani unahusiana nae. Jaribu kufanya utafiti uone jinsi mahausi girls wanavyo teswa. Wanachukuliwa kama watumwa , hawana haki yakujisikia kama wanaishi. Wanakupikia kuku halafu wakula ugali kwa maharage, chai ya rangi daima wakati unauza maziwa.
Ujue hakuna mtu anayependa kumtumikia mwingine, tunawapata hawa ili kututumikia sikwasababu wanataka bali kwasababu ni maskini na hawaji jinsi yakujikimu. Hivi unadhani kunamzazi anapenda mtoto wake akawe house girl? Jiweke kweny hiyo nafasi, binti yako anafanya kazi kwa mtu, anaamka saa 10 usiku, kulala mpaka saa 6 usiku tena. Harusiwi kukaa sebuleni, akionekana anaanglia TV ni matusi. Hali mpaka mbosi washibe na chakula anachokula bosi kikibaki ni cha mbwa, haruhusiwei kukionja, wake ni ugali tu. Niambie ungejisikiaje? Kama hupendi binti yako atendewe hivyo, usijaribu kwa wamwenzio. Kumbuka hakupenda kuwa maskini. Tukishawatesa sana inafikia hatua wakishachoka wanaweza kufanya mabo ambayo huwezi kuamini. Wakifanya hivyo tunawalaani nakusema mahause girls ni wanyama, tunasahau kwmba unyama huo tumeutengeneza sisi wenyewe. Tuwe makini sana jinsi tunavyoishi na wawatoto wa watu. Tuwapende nakuwafanya wajione kwamba na wao wko duniani.

Sijui hao wahindi wliamfanyaje, lakini hukuna jema litokalo kwa muhindi. Kumbuka wahindi kimila zao wanamatabaka ya watumwa na Untachable huko kwao, unategemea wamfanyie nini mtoto na tena wanajua ni maskini??? Wacha wajifunze kidogo. Huyo binti wala asitafutwe, na akipatikana aulizwe kwa upole aeleze kulikoni na sio kuhukumiwa tu eti kwasababu waliolishwa sumu ni wahindi. Watanzania tunaabudu wageni, Hata wahindi. Nendeni India mkawaone walivyo ndo mtawadharau.

Mkuu unaongea kwa machungu sana.
Labda nikwambie tu kwamba, wahindi niliwahi kufanya nao kazi, wapo wenye roho mbaya na wapo werevu. Hakuna mtu anayemhusudu mhindi, na hakuna mtu anayetakiwa kumchukia binadamu mwenzake kwa sababu ya kala!!!!....not even you. Tusichukulie tu kwamba kw sababu waliotendewa hivo ni wahindi basi tuwachukie. Huyo housegirl angekuwa na matatizo na mwajiri wake huyo kwa nn hakuripoti kwny sheria? Pia nimekupa mifano kadhaa ya HG kuwatenda visivyo waafrika wenzao, sina neno baya na HG yeyote, mm ninaye HG mwaka wa 6 sasa na ananiita mjomba!!!!! Lakini roho ya kuua si roho ya kawaida, mtu asiye muuaji hawezi kujiua hata yeye achilia mbali kuua mtu mwingine. Huyo HG anatakiwa mbele za sheria si kwa sababu ameua mhindi, ni kwa sababu ameua BINADAMU mwenzake.
 
Wherever they did to her they deserve to live.... nothing like social harassment can justify that brutal poisoning....However some Asians and Arabs have some sort of superior feelings toward fellow black people.........We need to make them know that we have our right and we can no longer bear oppression. God help her, God save the poisoned family.....The authority: Need to hear the complaints of poor young servants....Together we'll end the oppression
 
1.mtu unae lala nae kitanda kimoja,usiku unakoroma hujijui,ni wakumheshimu sana
2.mtu anaekupikia chakula ukala pia ni wa kumheshimu sana.
Maana yake hata mkeo/mmeo/nyumba ndogo mheshimu sana. Maisha yako ameyashikilia katika kiganja chake.
 
Familia ya kihindi ya watu 5 imelazwa hospitalini baada ya
housegirl kuwawekea sumu na kuondoka na mali kadhaa
habari zaidi zinasema hadija binti ambae alikuwa akiwapikia
chakula wahindi hao aliamua kuwawekea sumu watu hao na hivi sasa
aijulikan sababu za kufanya hivyo na polisi bado wanamtafuta
habari zaidi zinasema baba mama na watoto waliolazwa wameanza kufungua
macho lakini kuongea bado wanasua sua...polen sana
aen vizuri na hao watu ndio walioshikilia maisha yetu sasa mkiamua mnavyotaka ninyi mtaisha..natumain aikuwa sumu mliwekewa aweze kuchukua anavyotaka
imetokeawapihii
 
kajilipa mafao huyo, ingawa si kwa njia sahihi.
 
Jamani nimekuwa nikiwashauri jamaa zangu juu ya hawa watu, ukimchukua msaidizi wa nyumbani embu ishi nae kama ndugu yako, embu mpende na mpe thamani yake, hawa watu kwa karne nii ni muhimu mnooo na wanaweza fanya chochote kwa familia yako, fikiria kwa maisha ya dar baba na mama mnadamka kwenda kusaka tonge lkn dada msaidizi ndio unamwachia watoto na nyumba, anaweza fanya lolote, anaweza kulisha wanao sumu, kuchoma hata nyumba na wakati mwingine anaweza hata kukulisha uchafu...wapeni amani hao watu wana roho kama wewee...Kwa hili la wahindi nalaani lkn hawa jamaa ni wanyanyasaji wazuri sana wa watumishi, wabaguzi mnooo yaana h. girl akinywa maji na kikombe chake anavunja, wanatengwa na vyombo vyao so huyu dada atakuwa na msukumo ndani yake japo hakufanya sahihi kabisa
 
Ni kweli wahindi ni wanyanyasaji sana lakini kufikia maamuzi ya kuua, HAPANA hii ni dhahiri huyu msichana ni hatari na ana roho ya kuua.
 
Nawaheshimu sana wadada wa kazi,maana kwa % kubwa wanabeba uhai wetu,na akidhamiria kuwaua anawaua vzr tu, lkn pia wakati mwingine sisi ndo tunawafanya wawe na roho zile baadhi yetu lkn, maana unaweza ukaenda kwa mtu ukamkuta msichana wa kazi wanavyomtreat hata mbwa ana afadhali
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Familia ya kihindi ya watu 5 imelazwa hospitalini baada ya
housegirl kuwawekea sumu na kuondoka na mali kadhaa
habari zaidi zinasema hadija binti ambae alikuwa akiwapikia
chakula wahindi hao aliamua kuwawekea sumu watu hao na hivi sasa
aijulikan sababu za kufanya hivyo na polisi bado wanamtafuta
habari zaidi zinasema baba mama na watoto waliolazwa wameanza kufungua
macho lakini kuongea bado wanasua sua...polen sana
aen vizuri na hao watu ndio walioshikilia maisha yetu sasa mkiamua mnavyotaka ninyi mtaisha..natumain aikuwa sumu mliwekewa aweze kuchukua anavyotaka
hongera sana kwa hg, aishi maisha marefu.
 
Simtetei HG lakini nadhani alikuwa akinyanyasika sana. Laiti wangekuwa hata na utaratibu tu wa kula nae sidhani kama yangetokea hayo.
 
Lazima kuna sababu

Hawa watu ni Wa kukaa nao kwa upendo sana

Tunajifanya wajuaji wakati tunawaachia Nyumba zetu,Mali zetu,watoto wetu

Akiamua kukumaliza ni sekunde tu
 
...Vyombo vya Usalama? Vipi? hivi vya Bongo?? Good luck to her! Mkuu, sio kwamba tunampa loophole mtia sumu kwa sababu waliofanyiziwa ni wahindi, la hasha. Na ndio maana mimi nimekazia kuwa wote sisi, wahindi kwa wabantu, mara nyingi Tunautengeneza wenyewe unyama wa wafanyakazi wetu!
Kubwa ni kwamba there is an element of madness in all of us waiting for a sababu to surface. Inawezekana kwa binti huyu ilikuwa ni kutemewa mate na mwajiri wake. Inawezekana wewe na mimi ni siku tukimkuta mtu anajituma juu ya kifua cha tuwapendao. Your Madness may want to you to run to the Vyombo vya Usalama but I know for sure that my Madness will tell me to take out my Gun and end the matter there and then....!:rofl:

Japo binti uamuzi aliouchukua ni wa kishetani lakini in reality wahindi huwa wanatutreat waswahili as dogs.Huko india waafrica wanabaguliwa sana.
kuna mshikaji alisoma huko sikumoja alipata ajali ya pikipiki katika kupata ajali uko kidogo amgonge muhindi alimkosa.
Ila yeye alianguka na pikipiki akaumia cha ajabu wahindi badala ya kumpa msaada wakaanza kumgonga vitasa.
 
Familia ya kihindi ya watu 5 imelazwa hospitalini baada ya
housegirl kuwawekea sumu na kuondoka na mali kadhaa
habari zaidi zinasema hadija binti ambae alikuwa akiwapikia
chakula wahindi hao aliamua kuwawekea sumu watu hao na hivi sasa
aijulikan sababu za kufanya hivyo na polisi bado wanamtafuta
habari zaidi zinasema baba mama na watoto waliolazwa wameanza kufungua
macho
lakini kuongea bado wanasua sua...polen sana
aen vizuri na hao watu ndio walioshikilia maisha yetu sasa mkiamua mnavyotaka ninyi mtaisha..natumain aikuwa sumu mliwekewa aweze kuchukua anavyotaka
sumu gani mtu anafumbua macho? itakuwa aliongeza pilipili kwenye mboga zikapitiliza zikaenda kukata nevu za ubongo.
 
Back
Top Bottom