House girl ananitesa

Unafanya ujinga kama huu halafu unataka uitwe baba..au mume... Busara zero
 
wewe una tataizo gani

UNATAKA TUKUSAIDIE CONDOM AU???

JINSI YA KUCHEPUKA????

AU ????

Sina hata hamu, nimechanganyikiwa bt once i see the way you give your contributions nabaki tu nasmile!
 
Ndoa za sahizi ni bora uangushe hela utasikitika na kuumia moyoni, lakini si kupoteza mume/mke kama jitu linakuwa kama hili
 
Hivi hii ndo home of great thinkers? Eti hii nayo ni post, mental blotter
 

Sa anakutesa nn mkuu au kukuonjesha tigo imekua tatizo?
siielew post yako mkuu
 
Join Date : 14th May 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0​

Hehehehe kaja na moto ajabu
But hata kama kajiunga Jana haruhusiwi kupost au?
 
Umekosa nini kwa mkeo hadi uchepuke na hausgel?

Yan hata kesi ikifika kwa wahusika watakuona fa.la sana. Atleast ungechepuka na mwanamke mwingine mzuri kama mkeo.

BTW, Msalimie mkeo zoba.
 
Join Date : 14th May 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0​
 
Hayo ndio madhara ya kutokufikiria kabla ya kutenda.
 
Hivi matokeo ya f 6 lini jaman, maana dah hawa watu wanatutesa sana humu MMU.
 
Sasa ulishamwambia mkeo kwamba ushamla house girl?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…