House girl ana mimba yangu

House girl ana mimba yangu

Muombe aache kazi kwenu asepe kwao mpaka atakapojifungua,na awe mvumilivu asikutegemee kwa lolote maana ndo kwaanza unaanza kufukuzia maisha.ila kama hicho kibinti ni kikorofi ndo hakitatoka kwenu hapo kitakusubili mpaka umalize masomo.na hakitakua kibeki tatu tena,kitakua ni mwenga akiwa ukweni kwao anamsubili mumewe amalize masomo.hongera bwana umeoa kiulaini maana utakuja kutoa mahali unayotaka

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Acha shule ubebe zege.mimba kama mpapai mwisho wa siku itaonekana tu.na huyo dada atafukuzwa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hongera baba kijacho, kaa Chini panga nae mikakati ya maisha. Mpe mother mchongo mzima then father ataupata tu, na mikakati endelevu itakuja baadae.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kijana wa form six hiki siyo kitu cha kuja kuanzishia uzi. Kwa umri wako ulitakiwa ujue ukisex kuna matunda na kama upo tayari nayo au la....

Sasa matunda yanakuja unakuja kuanzisha uzi!!?

Taratibu ni hizi
Pima naye
Kama ipo muulize ana mpango gani, kisha fanya atakachosema
 
Muombe aache kazi kwenu asepe kwao mpaka atakapojifungua,na awe mvumilivu asikutegemee kwa lolote maana ndo kwaanza unaanza kufukuzia maisha.ila kama hicho kibinti ni kikorofi ndo hakitatoka kwenu hapo kitakusubili mpaka umalize masomo.na hakitakua kibeki tatu tena,kitakua ni mwenga akiwa ukweni kwao anamsubili mumewe amalize masomo.hongera bwana umeoa kiulaini maana utakuja kutoa mahali unayotaka

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Yaani mzigo wako.alaf awapelekee wazazi wake?hawa wadada wanatoka kwenye familia duni.ndo maana wanakuja kufanya hizo kazi.alaf leo unamwambia aende kwao na katoto juu nani atawalea?


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dogo,

uliweza kuwapiga chenga wazazi wako na wadogo zako, ukaingia chumbani kwa house girl, ukamvua chupi, ukasimamia kucha mpaka ukampa mimba, bila kutuomba ushauri.

Naamini hata hiyo kesi utaimaliza bila ushauri wetu!

Wahenga walisema, hakuna kiumbe anaebeba mimba kirahisi kumzidi house girl.


Pambana na hali yako!

- KANA -
 
Huo ni ufuska wako...hayo siyo mambo ya kujisifu.
Haya sasa jiandae kulea.
 
Nimemaliza form six may mwaka huu nikarudi home, nyumban tupo 5 tu yaani baba, mama, wadogo zangu wawili na msichana wa kazi ambao asbh wakiamuka wanaenda shule na wazazi kazin, wanapoondoka kazin ninabakia na msichana wa kazi, mwanzo nilichukulia kawaida kukaa nae ila baadae nikabadili utaratb, wazazi wakiondoka naenda chumbani kwa dada( house girl) tunafanya yetu mpaka saa 2 anaendelea na kazi zake, Jana matokeo yametoka nimefaulu, leo kasikia baba yangu ananipongeza kwa kufaulu, kaingia chumbani kwake kanitumia msg ananiambia ana mimba yangu!!! Nifanyeje?
mwsho wa ubishoo na unyangema ni majukumu
 
Hongera dogo, subiri boom litoke upange geto umhamishie huyo mbeibee wako muishi, kabla first yr haijaisha mtoto wa kwanza huyooo, ukifika 3rd yr mpige mimba ingine!Ukimaliza chuo ushaoa na ulishazaa...no stress, kukimbizana na pesa tu
Angalizo: 1.usichague kozi na vyuo vya kibabe, kwa stress ya mtoto na mama yake hautatoboa. 2. Anza kufikria miradi ya ujasiriamali hata midogo, vinginevyo njaa itakuua ukitegemea boom kulea mama, mtoto na wewe 3.Kama ulipiga house gal usiyempenda ili tu kupoza mashine pole yako maana najua usingependa kusikia habari za kumuoa ila ndo hivyo naye tayari anafikri hii ndo nafasi yake ya kutoka. Natamani angekuwa ndugu yangu nimjaze ujingaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama nakuona vile ulivyokuwa unazama chumbani kwa beki tatu na unadinyana na mtoto wa watu kama vile mkeo...

Hongera kwa kupanda mahindi na kuvuna mahindi...
 
Back
Top Bottom