OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,206
- 103,775
Ni mtizamo tu!!Sidhani kama ni kumkashifu mheshimiwa rais.Huu ni mtizamo wangu
Kwa namna navyofuatilia hotuba za rais wetu kipenzi ambaye kiutendaji yupo vizuri,nabaini kuwa rais akihutubia bila kutumbua unakosa mvuto kabisa na hata masuala anayo-adress kwa wahudhuriaji na watanzania yanaaahaulika mapema sana. I mean sijaona a stunning speech inayoweza kuacha msikilizaji akitikisa kichwa kukubali hits za rais.
Instead akihutubia maneno mawili matatu halafu atumbue at least tukio linabaki kwa siku kadhaa vichwani mwa watu.
Nashauri rais aendelee kutumbua