Hotuba za Rais Magufuli bila kutumbua zinakosa mvuto!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,062
103,264
Ni mtizamo tu!!Sidhani kama ni kumkashifu mheshimiwa rais.Huu ni mtizamo wangu

Kwa namna navyofuatilia hotuba za rais wetu kipenzi ambaye kiutendaji yupo vizuri,nabaini kuwa rais akihutubia bila kutumbua unakosa mvuto kabisa na hata masuala anayo-adress kwa wahudhuriaji na watanzania yanaaahaulika mapema sana. I mean sijaona a stunning speech inayoweza kuacha msikilizaji akitikisa kichwa kukubali hits za rais.
Instead akihutubia maneno mawili matatu halafu atumbue at least tukio linabaki kwa siku kadhaa vichwani mwa watu.

Nashauri rais aendelee kutumbua
 
Kama vile Leo hakujiandaa vizuri..alichokisema zaidi ni pongezi kwa majeshi na waandaaji wa shughuli. Anyway si mbaya sana
 
Ni mtizamo tu!!Sidhani kama ni kumkashifu mheshimiwa rais.Huu ni mtizamo wangu

Kwa namna navyofuatilia hotuba za rais wetu kipenzi ambaye kiutendaji yupo vizuri,nabaini kuwa rais akihutubia bila kutumbua unakosa mvuto kabisa na hata masuala anayo-adress kwa wahudhuriaji na watanzania yanaaahaulika mapema sana. I mean sijaona a stunning speech inayoweza kuacha msikilizaji akitikisa kichwa kukubali hits za rais.
Instead akihutubia maneno mawili matatu halafu atumbue at least tukio linabaki kwa siku kadhaa vichwani mwa watu.

Nashauri rais aendelee kutumbua
Hapo pa red, unaogopa nini? Kuna ulazima wa kuweka neno hilo?
 
Mtanzania ndiye binadamu mnafiki kuliko binadamu wote duniani .......unajua kwann mwaka jana siku kama ya leo sherehe za uhuru zilifutwa si tukaambiwa tusherekee kwa kufanya usafi nchi nzima na mapesa ambayo yangetumika kwenye sherehe hizo yajenge barabara watanzania wakashangilia kweli.....leo tena sherehe Zipo hazijafutwa ili kubana matumizi mtanzania huyu amefurahi na kushangilia .......nilidhani leo zinafutwa then pesa ipelekwe kwa waathirika wa tetemeko kule KAGERA...mwaka jana walishangilia mwaka wameshangilia hawaeleweki wapo upande gani..........
Watu wamechanganyikiwa kama kwenye mnara wa Babeli!

MTANZANIA NDIYE BINADAMU MNAFIKI KULIKO BINADAMU WOTE DUNIA siku tukiacha unafiki Tanzania itakombolewa Goliath Mwacharandula Mfalamagoha
 
Mkuu ni aje hapo kwenye rangi!? Wamehack account yako leo!? Utendaji upi unaozungumzia Mkuu!?

Ni mtizamo tu!!Sidhani kama ni kumkashifu mheshimiwa rais.Huu ni mtizamo wangu

Kwa namna navyofuatilia hotuba za rais wetu kipenzi ambaye kiutendaji yupo vizuri,nabaini kuwa rais akihutubia bila kutumbua unakosa mvuto kabisa na hata masuala anayo-adress kwa wahudhuriaji na watanzania yanaaahaulika mapema sana. I mean sijaona a stunning speech inayoweza kuacha msikilizaji akitikisa kichwa kukubali hits za rais.
Instead akihutubia maneno mawili matatu halafu atumbue at least tukio linabaki kwa siku kadhaa vichwani mwa watu.

Nashauri rais aendelee kutumbua
 
Nimesikitika sana baada ya kujitesa muda wote kusikiliza nikitegemea "pumba" lakini sikuzisikia.......nimeumia sana!
 
Ni mtizamo tu!!Sidhani kama ni kumkashifu mheshimiwa rais.Huu ni mtizamo wangu

Kwa namna navyofuatilia hotuba za rais wetu kipenzi ambaye kiutendaji yupo vizuri,nabaini kuwa rais akihutubia bila kutumbua unakosa mvuto kabisa na hata masuala anayo-adress kwa wahudhuriaji na watanzania yanaaahaulika mapema sana. I mean sijaona a stunning speech inayoweza kuacha msikilizaji akitikisa kichwa kukubali hits za rais.
Instead akihutubia maneno mawili matatu halafu atumbue at least tukio linabaki kwa siku kadhaa vichwani mwa watu.

Nashauri rais aendelee kutumbua
Mungu kamuumba kila mtu na kipaji chake, kuna mwingine ni mc, kuna mwingine umc hawezi. kuna mwingine ana hekima wakati wa kuongea, mwingine kuongea mbele za watu hawezi. mkulu ni mtenda kazi mzuri sana lakini nahisi kutosoma masomo ya arts kunaleta pengo, kuongea mbele za watu kidogo ana madhaifu, hawezi na anahitaji msaada. angalia hotuba ya kagame kama utakuta ina utani wa ajabu kama huo. tujifunze kwa wenzetu.
 
Vipi ukitumbuliwa wewe pia zitakuwa na mvuto kwako?
Ni mtizamo tu!!Sidhani kama ni kumkashifu mheshimiwa rais.Huu ni mtizamo wangu

Kwa namna navyofuatilia hotuba za rais wetu kipenzi ambaye kiutendaji yupo vizuri,nabaini kuwa rais akihutubia bila kutumbua unakosa mvuto kabisa na hata masuala anayo-adress kwa wahudhuriaji na watanzania yanaaahaulika mapema sana. I mean sijaona a stunning speech inayoweza kuacha msikilizaji akitikisa kichwa kukubali hits za rais.
Instead akihutubia maneno mawili matatu halafu atumbue at least tukio linabaki kwa siku kadhaa vichwani mwa watu.

Nashauri rais aendelee kutumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom