Hotuba za Rais Magufuli bila kutumbua zinakosa mvuto!!

Ni mtizamo tu!!Sidhani kama ni kumkashifu mheshimiwa rais.Huu ni mtizamo wangu

Kwa namna navyofuatilia hotuba za rais wetu kipenzi ambaye kiutendaji yupo vizuri,nabaini kuwa rais akihutubia bila kutumbua unakosa mvuto kabisa na hata masuala anayo-adress kwa wahudhuriaji na watanzania yanaaahaulika mapema sana. I mean sijaona a stunning speech inayoweza kuacha msikilizaji akitikisa kichwa kukubali hits za rais.
Instead akihutubia maneno mawili matatu halafu atumbue at least tukio linabaki kwa siku kadhaa vichwani mwa watu.

Nashauri rais aendelee kutumbua
Hana jipya
 
Kweli, maana hawa ndio vinara wa unafiki
1481305927218.jpg
 
Mkuu asiweke jokes kwenye hotuba,asione shida kusoma kilichoandikwa na wasaidizi wake ili kujenga heshima na mvuto kwa hadhara inayomsikiliza.
Kama anataka kuongeza maelezo yake,awe anaipitia mapema hotuba iliyoandaliwa na aweke maneno yake.
Lakini,ajitahidi asiweke maneno ambayo hayapo kwenye hotuba,wananchi hawapendi,japo mkuu hafahamu hilo.
Mfano,mkuu anaenda Benki kuu,anaongea mambo ambayo hayana uhusiano na sekta husika!
Wasaidizi wamuandalie hotuba inayoendana na tukio ambao mkuu ameenda kuhudhuria,iwe Mkuu amealikuwa sherehe ya kielimu,yeye anaongea majibu ya wanaouliza kwa nini amevunja bodi ya TRA.!yaani kwa ujumla Mkuu inabidi aandaliwe hotuba na aisome,kusoma hotuba sio dhambi bali ni kukidhi mahitaji ya tukio na mahali anapokuwa amealikwa.
 
Wanabodi nafikiri baadhi ya wafuasi wa UKAWA ndio watu wenye uelewa mdogo zaidi kuliko wote
 
wasio na ajira selkalini wanashangilia kutumbuliwa kwa wafanya kazi kwani hizo kazi utafanya wewe,tumeona kutumbua kumeshusha bei ya sukari?mishahara ikoje imepanda isipopanda pesa ya kuuza matikiti utaitoa wapi?
 
Wakati akitoa hituba yake shinyanga alitaka kumtumbua yule mhandisi wa maji.na watu wakilitegemea hilo lkn alipoitwa akatoa fact na takwimu za gharama za maji kwa unit kwenye miji mingine akalinganisha na shinynga magu akaishiwa pozi na kua mpole na kumaliza mkutano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom