Hotuba za Obama- huwa anasoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba za Obama- huwa anasoma?

Discussion in 'International Forum' started by Brooklyn, Jun 5, 2009.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wakuu naomba kuelimishwa juu ya hotuba za Obama, je huwa anasoma sehemu au anakuwa na hints kaandika sehemu (kama Mwl. Nyerere) kisha anazipa nyama on stage au anapanda kavu kavu na kumwaga mambo bila kurefer sehemu yoyote??

  Jana jioni ulizuka mjadala mkubwa sana pale mlimani, huku wengi wakisema huwa hasomi wala hana talking point zozote mkononi wala juu ya meza!!

  Na kama hasomi sehemu yoyote, Americans hawaoni kama ni risk sana kwa Rais wao kutosoma sehemu kwa sababu ya madhala yanayoweza kutokea katika speech zake especially most critical speeches like the one he dilivered yesterday?

  Can our president do the same in his speeches?

  Naona kama ina mvuto sana kuhutubia bila kusoma wakuu!
   
 2. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Obama huwa antumia Teleprompter.. Google utaona kifaa hicho kina kazi gani.Marais wengi wa marekani wamekuwa wakitumia kifaa hicho kusoma hotuba zilizoandikwa.

  Kuna hotuba ndogo ndogo zile huwa hasomi ila zote ambazo ni za kitafifa uandaliwa kwa uangalifu mkubwa na watu waliobebea katika nyanja mbali mbali.mmoja wapo ni Gibbs!

  Ila RAis huwa naye anweka Input zake katika kila hotuba!
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  yule mtu kichwa sana,

  wetu amezoa kudesa toka yuko chuo,
  hata maongezi ya ana kwa ana, anasoma kweny karatas
  obama kichwa sana:: 1% inspiration 99% perspiration (IQ iko juu sana)
   
 4. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anasoma almost kila hotuba yake ndio maana huwa anataniwa kuwa anatumia sana teleprompter
   
 5. m

  macinkus JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2009
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  teknologia ya teleprompter ina miongo mingi kidogo sasa. mara ya kwanza aliitumia rais reagan wa merikani wakati anfungua mkutano wa mwaka wa benki ya dunia. kwa kuwa ilikuwa ngeni, na rais reagan hakuwa mchumi bali actor, wasikilizaji wake walistaajambu jinsi alivyokuwa anapromoja hoja za kiuchumi bila kusoma. kumbe alikuwa antumia hii ambayo sasa obama anitumia sana.

  hata hivyo lazima tumsifu obama kwa jinsi anavyo litawala jukwaa. na rais wetu nadhani anajirahisisha kwenda kwenye kikao na marais wenzake akiwa amebeba notes zinaoonekana wazi wazi. shame on him!!

  macinkus
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mjadala Mlimani kati ya wanafunzi ama? Kama wanafunzi wetu hawajui teleprompter kazi tunayo. Ina maana hata Mzee Biden joke yake hawakuipata au?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jun 5, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe kuna watu hapa hapa Marekani wanaodhani O'Bummer ni Yesu sembuse wanafunzi wetu wa Mlimani....

  Kuna watu hata humu ndani O'Bummer akijamba wanaweza kudai ushuzi wake unanukia kama cologne ya Ted Baker!!!
   
 8. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Acha banaaa!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 5, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Niache nini? Ninachosema ni kweli....kuna watu humu hata mavi yake watayaona keki...
   
 10. K

  Komavu Senior Member

  #10
  Jun 5, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Bwana Nyani Ngabu,

  majibu yako huwa yaniacha hoi sana haha haha haha

  Nimecheka sana.
   
 11. p

  p53 JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hahahaha!hii kali mkuu.usinambie??
  Obama mnafiki tu.Hakuna kiongozi anayeweza kumridhisha kila mtu.Yeye anataka awaridhishe wamarekani,waisrael,wapalestine&arab world,wairan...wapi kama siyo unafiki huu
   
 12. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Kwa walio soma Marekani hasa vyuo vizuri, shule nyingi zinafundisha kutawala jukwaa wakati unafanyapresentation. kama ukifanya hizo presentation for 6 years (undergraduate 4 years graduate 2 years), confidence unakuwa nayo sana tu. Na wakati unafanya presentation unatakiwa usisome sehemu yeyote ile hivyo inabidi nondo zote ziwe kichwani, hakuna desa wala nini. Kwa Obama hizo speech ni muendelezo toka uko nyuma wakati anasoma shule pale Colombia na Harvad Law School.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jun 5, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kweli babu...yeye anataka kumridhisha kila mtu...hata Marekani kwenyewe anataka awaridhishe wazungu, wanugu, walatino, ma gay, walokole,...mweeee...huyu O'Bummer huyu...oh wait bado kuna Wakenya nao...Lol
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  acha kukariri......

  btw JK hata akipewa teleprompter 10 hawezi ku deliver speech kama anavyo deliver obama.....jk ni mtupu sijaona kama hotuba ya kufungua kisima cha milioni 5 anadesa.....mazungumzo ya daki 10 na raisi mwenzie anadesa.....huyu hata akiwa na mama salma room atakuwa anadesa....
   
 15. Madam Koku

  Madam Koku Senior Member

  #15
  Jun 5, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  I admire the way Obama gives his speeches although he uses the teleprompter. You know it is not everyone who uses teleprompter can be as natural as he is and still deliver the way he does. His body language, speech content and the inputs he adds in his speech makes him unique. I never get tired of listening him. Other leaders should learn jamani. It makes you original, but reading directly from the papers, even a primary school student can do it.
   
 16. Zero

  Zero JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 301
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hili suala la Obama kusoma ama kutokusoma speech haliko mlimani pekee yake. Nakumbuka kipindi cha kuapishwa nilibishana sana na watu kuhusu utumiaji wa teleprompter. Wengi wanaamini kwasababu alikuwa anangalia kila direction ya crowd, basi alikuwa hasomi. Wengi hawajui kwamba huwa anakuwa na zaidi teleprompter moja. Inakuwa ni easy kwake kuangalia kila upande wa crowd na kuonekana kama hasomi.

  Ila kiukweli jamaa ni kichwa kwenye speech delivery hata kama anasoma. Waandishi wake wamebobea na yeye anazipresent kwa energy nzuri. Speech zake zina mvuto balaa whether anasoma au hasomi. Wangapi wanasoma na wanaongea pumba tu?
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni kweli Obama anasoma speech zake. Lakini big up inaenda kwa wanaokaa naye chini kuandika, maana unaweza kuona jinsi speeches zake zinakuwa na signature ya obama in its language na ideas.
  Watu wanaomsinyanga kwa kusoma speeches, ni madunya! Kwanza, Bush mlikuwa mnamcheka kwa bushism zake, sasa mmepata msemaji mzuri mnamponda. Mbona hamjatulia? Bush had similar resources as what Obama has, akashindwa kuzitumia. Obama anaonyesha uwezo wa kutumia hizi resources to his advantage. Na hii ndo kuwa na akili.

  Nyani Ngabu stop being a hater! Obama tries to reconsile the different sides. Kwa mfano, issue ya abortion na speech yake Notre Dome. Angalia na jinsi watu wanapokuwa washabiki wa upande mmoja (fanatics) hadi wenyewe mmeona walivyomfanya yule doctor kule Kansas. U have to understand the other sides views and needs. We are all different, and Obama accepts that! It's a difficult road to take, and many dare not, in order to please a certain group. This creates more hate than love.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jul 27, 2015
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mjadala kuhusu teleprompter....kutoka 2009.
   
 19. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2015
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Ni utamaduni kusoma speech hapa Marekani. Telepromter inamfanya aonekane kama anatoa hotuba kichwani. Tatizo anatumia telepromter hata kwenye hotuba za kwenye ukumbi wa shuleni za msingi ambazo angeweza kutumia karatasi. Gharama ya telepromter yake ni zaidi ya 250,000 USD. Hivyo ni sawa na kutumia rungu kuua inzi.

  Vilevile akitumia telepromter, speeches zake zinakuwa very intense. Lakini kwenye impromptu speeches intensity yake inapungua sana. Hivyo anaonekana kama mtu wa maigizo.

  Ukija kwa Bush, yeye ni mtu wa one line, short sentence, short answer, and get things done. Kwa wamarekani wengi, sifa hizi ni tosha mtu kuwa rais. Kwa sisi tuliozoea kiongozi kutoa hotuba za mafundisho, hatuwezi kumfagilia Bush. Lakini katika execution alikuwa very effective kuliko Obama.
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2015
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Hata kama anasoma bado anakipaji ...kwa sababu wanaosoma ni wengi na hawanaga mvuto
   
Loading...