Hotuba za Obama- huwa anasoma?

Hotuba za Obama- huwa anasoma?

Kwa walio soma Marekani hasa vyuo vizuri, shule nyingi zinafundisha kutawala jukwaa wakati unafanyapresentation. kama ukifanya hizo presentation for 6 years (undergraduate 4 years graduate 2 years), confidence unakuwa nayo sana tu. Na wakati unafanya presentation unatakiwa usisome sehemu yeyote ile hivyo inabidi nondo zote ziwe kichwani, hakuna desa wala nini. Kwa Obama hizo speech ni muendelezo toka uko nyuma wakati anasoma shule pale Colombia na Harvad Law School.

wacha uongo
 
yule mtu kichwa sana,

wetu amezoa kudesa toka yuko chuo,
hata maongezi ya ana kwa ana, anasoma kweny karatas
obama kichwa sana:: 1% inspiration 99% perspiration (IQ iko juu sana)

hii teknolojia ya matumizi ya teleprompter kwa Rais wetu si ngeni,ni zaidi ya mara moja ameitumia ktk utoaji wa hotuba zake,mara ya mwisho ameitumia majuzi tu wakati akifunga bunge la budget,km unakifahamu hicho kifaa tafuta hiyo hotuba utaviona.
 
Most of the speeches presented by Obama are not read.
 
Earpiece communication device

Wacha uongo. Nashangaa jinsi Obama anavyosoma speech zake all the time na watu wanabishana jambo ambalo liko wazi. Hii inaonyesha jinsi Tanzania ambavyo bado wako kwenye dunia ya kina Bulicheka,
 
Hizi prompter zinataka maz oezi . Kwa ujumla anaangalia 2 screens na hotuba karatasi na occasionally ana digress na vi joke. Inaugural speech ya JK ya 2005 alitumia bungeni ikawa balaa alichanganya karatasi akajisahau na utani huku prompter I metangulia. Km mnakumbuka ile hotuba ili shindwa kujadiliwa bungeni kwa vile statehouse walisema wata edit. Sam Sita akaahidi italetwa. Hadi leo hotuba ile haikuchapwa wala kujadiliwa. IF U remember JK was totally lost akabaki ana arrange karatasi zake mbele nyuma hadi mwisho. Real disaster. And this has repeated 3 times. Kila akija ribu ana desa
 
Wacha uongo na wewe.

Wacha uongo. Nashangaa jinsi Obama anavyosoma speech zake all the time na watu wanabishana jambo ambalo liko wazi. Hii inaonyesha jinsi Tanzania ambavyo bado wako kwenye dunia ya kina Bulicheka,

Kuna watu wajinga sana aisee.

Halafu ni kama vile hata neno teleprompter wamelionea hapa na hata ukiwaonyesha hawaijui.

Ni dhahiri shahiri kabisa kuwa Obama huwa anatumia teleprompter kutoa hotuba zake.

Yeye mwenyewe habishi, wasaidizi wake hawabishi, na kila asiye mjinga habishi.

Siku moja hiyo teleprompter ilianguka. Ona hapo chini.



Halafu sasa, kuna watu kabisa na akili zao eti huwa wanabisha wasoma taarifa za habari kwenye runinga huwa hawatumii teleprompter. Huu nao ni ujinga.

Hakuna sehemu zaidi ta television studio ambapo teleprompter hutumika zaidi. And I know this for a fact because I was once a production assistant and I have interned at a television station when I was in college.
 
Last edited by a moderator:
Hizi prompter zinataka maz oezi . Kwa ujumla anaangalia 2 screens na hotuba karatasi na occasionally ana digress na vi joke.

Yup uko sahihi. Siku moja, moja ya hizo screens ilianguka hapo White House. Na sizushi. Angalia hii YouTube clip.

 
Last edited by a moderator:
Kuna mijitu inajidai ina akili kumbe ndo mijinga namba moja....kuwa na written talking points hakuzuii ku memorize....tumeatend classes za presentation na tume discuss good presenters duniani including Obama...

Haya ni good reader...te te te si anategemea kusoma
 
Staff wa UN kwa mfano presentation ni kitu ambcho ofisi ina take seriously na wanfundishwa (at least najua staff wa UNRISD Geneva wanafundishwa hilo...na key topic ni ku memorize si kuonekana unasoma) No wonder Asha Migiro aliacha watu midomo wazi baada ya great performance
 
Back
Top Bottom