Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Tanzania tuna JK,Uganda wana YK,Kenya wana UK,RWanda wana PK,,,,,
kaazi kweli kweli,sasa majina yaanze kubadilishwa?
kaazi kweli kweli,sasa majina yaanze kubadilishwa?
Huwezi kulinganisha IQ na uelewa wa uhuru na galasa jk....uhuru is good by far and he mean what he is saying...sio huyu failure wetu kila kitu anataka prestige hata kwa impossibilities...
Haaa haa haaa, Zoy naona unamjengea hofu mtoa mada! Naona hivi vitu vyenye ncha kali pamoja na vitu vizito vimekuwa tishio sana nchini. Sasa kwa vitisho hivi kweli tutaweza kugenerate any meaningful ideas na kuicriticize serikali kweli???Watakuita gaidi wewe! Shauri yako utapigwa na kitu chenye ncha kali toka angani.
Kama una soft copy tuwekee humu jamvini tuijadili tafadhali.
Kama una soft copy tuwekee humu jamvini tuijadili tafadhali.
Uhuru kajiandaa kuwa raisi
nilikuwa kenya 2006 na wiki iliyopita nilikuwa huko,hawa jamaa wako makini na wanachosema ,sio kama ------ wetu
Atarekodiwa..... watamrwakatara...oohWatakuita gaidi wewe! Shauri yako utapigwa na kitu chenye ncha kali toka angani.
Mimi hili la laptop sio ninalo lifagilia saana, kwa mazingira yetu ya afrika, labda Kenya kwao hali ni tofauti, lilo ni vutia ni hili la job creation , ku add value kwenye products, na issue la umeme, hivyo ni vitu vya msingi kuelekea kwenye kutoa laptop, barabara za kukuza uchumi, reli nk, sio ile miradi yetu ya maghorofa ya kawe, sijui manzese, temeke, kigamboni, na kuendelea. Sisi Bora tukauza watu waka fanya maghala ya kuleta kanda mbili, hela za kuwekeza kwenye umeme, tukaamua kuwapa iptl/richmond aka dowans, artumas na kule mwanza sijui kampuni gani , hela za Reli tukaamua kuwapa rites, sasa hapa utaona sio kwamba hela hakuna bali nia haipo, au ndio huo ubabaishaji, Tanzanite na gold ndio hiyo imeisha ondoka, kiwanda ndio wana zungumzia kuweka sasaPorojo tupu,eti laptop kwa kila mwanafunzi! May be lets wait,yetu macho.
Wakenya wanaweza sababu ya seriousness. Walisema hakuna kusimama kwenye mayatu kila mtu amesimamia hilo na limewezekanani maneno hata 2005 yalisemwa just wait for utekelezaji ujionee mieleka.