Umeifanya cku yangu kuwa ya furaha sana.TAARIFA: Hakuna matarajio ya mohamad kurudi so kama hiyo ndo reference then wakenya wasitarajie jipya. ila msini-quote
Wakenya wapo serious kwenye mambo yao ya msingi, tofauti kabisa na sisi waTZ...
Acha utumwa mambo gani wapo seriouz?
Sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta zimeisha, na katoa hotuba nzuri saana kuhusiana na uchumi, kwa kuzungumzia job creation, kwa ku add up value on their primary goods, na kuwepo kwa umeme wa uhakika, wakati sisi tuna zungumzia picha za mji mpya wa kigamboni, kawe, manzese, temeke, bila kuwa na umeme wa uhakika na vijana kibao wasio kuwa na kazi na pato la taifa likiwa haba, tukiungwa mkono na foleni barabarani na kumilikisha loliondo kwa obc
Acha utumwa mambo gani wapo seriouz?