Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 909
Kwa hiyo vyote walifanya Kwa muda gani?Hivi huyu hawezi kuhutubia popote bila kutaja Stieglers gorge,ndege na reli!
Ethiopia wamefanya mara mia moja ya hayo lakini huwasikii kila siku kuzungumzia bwabwa lao ,reli yao ya umeme,na ndege SABINI NA SITA walizonazo.
Ushamba mzigo
Imewachukua miaka mingapi kuwa na ndege 76?
Tumia akili kufikiri sio makalio!