Hotuba ya Rais, TISS na JF

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Wadau,
Mi kila siku nikiingia jamvini nakutana na post zinazodai, ooh, usalama wa taifa wako JF, oh usalama wa taifa wapo JF.

Nahisi labda hao UWT wamekatazwa hata kufungua page ya JF....kwa sababu gani?

Kwa sababu, Invisible alipost ile hotuba ya rais jana mapema kweli. Na watu wakatoa comments kuwa mabomu ya GLM hayakulipuka tarehe 17 bali ni tarehe 16.

Cha kushangaza usiku ile speech imetoka vilevile na rais anasema tarehe 17. Sasa kama hawa UWT wapo JF na wanasoma hizi post, kwa nini hawakumsaidia mkuu wao kurekebisha hii kitu?

Hawaoni kuwa, kama wanaweza kukosea jambo kubwa kama hilo, tutajuaje kuwa walipatia walivyosema urefu wa kina cha maji? au hali ya usalama wa nchi?

Naomba kuwakilisha.
 
Na wao wako upande wetu wamemchoka, wanajuta kwa nini walimsaidia mtu asiyejiweza kuongoza nchi.Wanaona bora aharibikiwe
 
Wadau,
Mi kila siku nikiingia jamvini nakutana na post zinazodai, ooh, usalama wa taifa wako JF, oh usalama wa taifa wapo JF.

Nahisi labda hao UWT wamekatazwa hata kufungua page ya JF....kwa sababu gani?

Kwa sababu, Invisible alipost ile hotuba ya rais jana mapema kweli. Na watu wakatoa comments kuwa mabomu ya GLM hayakulipuka tarehe 17 bali ni tarehe 16.

Cha kushangaza usiku ile speech imetoka vilevile na rais anasema tarehe 17. Sasa kama hawa UWT wapo JF na wanasoma hizi post, kwa nini hawakumsaidia mkuu wao kurekebisha hii kitu?

Hawaoni kuwa, kama wanaweza kukosea jambo kubwa kama hilo, tutajuaje kuwa walipatia walivyosema urefu wa kina cha maji? au hali ya usalama wa nchi?

Naomba kuwakilisha.
...why troubled with something not existing!! kuna usalama wa taifa Tanzania!!! au unafanya mzaha...! tafuta mambo mengine ya maana tujadiliane.
 
Hv ile speech kwa mda ule si ilikuwa tayali imelekodiwa mkuu!
Kwa hiyo ilikuwa too late nadhani!
 
JK kachokwa na kila mtu.Huoni hata rafiki yake ambaye hawakukutana barabarani anampiga madongo kisailensa.
 
Nimeipenda, Usalama wa Taifa wanamchukia sana JK, mbona wanasema jamaa hawaheshimu kwa kazi zao anawafokea wakimkataza kitu; wameamua kumwacha atwange anavyojua. Ila mmoja aliniambia waTanzania waoga wa mageuzi maana wangetaka hata leo kumzomea JK yuko tayari kuachia madaraka
 
hahahaha, wamemsakizia ile speech mkuu. naye kaisoma kama ilivyo, halafu kasepa.
 
ina maana huwa anaenda studio kurekodi speech au anaongea na wananchi "live"?
mhhh live wapi kile kipindi kinalekodiwa mkuu! Baadaye cd zinagawiwa kwenye kila kituo cha matangazo kwaajili ya kuonyesha! Ndo maana kila tv inamda wake wakuonyesha mkuu! Live si anaweza kuzimia unadhani mchezo wewe!
 
Inawezekana hata familia yake haikubali uongozi wake ila basi tuu inabidi, sembuse UWT.
 
Wadau,
Mi kila siku nikiingia jamvini nakutana na post zinazodai, ooh, usalama wa taifa wako JF, oh usalama wa taifa wapo JF.

Nahisi labda hao UWT wamekatazwa hata kufungua page ya JF....kwa sababu gani?

Kwa sababu, Invisible alipost ile hotuba ya rais jana mapema kweli. Na watu wakatoa comments kuwa mabomu ya GLM hayakulipuka tarehe 17 bali ni tarehe 16.

Cha kushangaza usiku ile speech imetoka vilevile na rais anasema tarehe 17. Sasa kama hawa UWT wapo JF na wanasoma hizi post, kwa nini hawakumsaidia mkuu wao kurekebisha hii kitu?

Hawaoni kuwa, kama wanaweza kukosea jambo kubwa kama hilo, tutajuaje kuwa walipatia walivyosema urefu wa kina cha maji? au hali ya usalama wa nchi?

Naomba kuwakilisha.

Mkuu hapo nilipoweka RED panenifurahisha sana, wala usiumize kichwa, leo si mara ya kwanza yeye kubambikiwa mambo kama haya, hii hotuba kuna watu wanamuandikia na kureview pia, sasa me nahisi hao wanaomuandikia ndo wanaomtosa, huyu jamaa keshasign madocument face, hata sheria pia, unashangaa leo hotuba?????? me nafikiri hata huko ikulu wameshamchoka,sasa inabaki kutosa tu kila angle
 
Hivi unajua mahusiano yaliyopo kati ya Usalama wa Taifa na Jk? fanya uchunguzi wa kina ujue matokeo ya uchaguzi yaliyopita ni asilimia ngapi walimkataa kikwete katika mazingira wanamoishi watu wa usalama wa taifa, achilia mbali maeneo wanayoishi polisi na wanajeshi. Ninahisi sehemu kubwa ya watu wanao muunga mkono katika vyombo vya dola ni wale walio katika nafasi za juu au kuteuliwa naye
 
Kwa akili ya kawaida tu inakuwaje Rais wa Nchi asijue ni lini wananchi wake wamelipukiwa na mabomu? hana kalenda ofisini kwake? au anaibuka tu na kusoma anayoyakuta mezani kwake? hana tv? hana redio? anakuwa wapi? sipati picha.
 
KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEE... HEHEHEEEEEEEEEEEE

yani hotuba ya rais imedanganya tarehe ya bomu, hivi kama hata siku ya mabomu unasahahu, utakumbuka daily operations and assignments??

HUyo Mberwa Kairuki mwandishi wa rais ameanza uzembe mapema hivi?
 
Hii yote inadhihirisha wazi kuwa jk hana anachojua juu ya mambo yanayoendelea nchini coz haiwezekani asigundue kukosewa kwa tarehe ilipotokea milipuko ya goms(hata mwezi haujapita).
 
yalotokea kwa Gadafi ya kuachwa solemba na viongozi wa usalama wa Taifa na kujiunga na raia ktk kudai chao sasa tayari JK nae yanamkuta!, af kumbukeni JK huwa hatoi hotuba live!, the speech was Recorded since last week! so makosa kama hayo ni kawaidaaaa! dont botha neither ask!:hand:!!!!
 
...why troubled with something not existing!! kuna usalama wa taifa Tanzania!!! au unafanya mzaha...! tafuta mambo mengine ya maana tujadiliane.

Sema hivi......... atafute mambo mengine ujadili, ukisema tujadili unamaanisha wewe na nani? Kwa yeyote anayejua critical thinking lazima ajiulize juu ya hili suala. It is a matter of reasoning. Basi anzisha wewe thread watu wajadili. Kama wewe ni usalama wa taifa na ulisahau kumshtua boss wako basi acha sisi tuongee.

Hata mie najiuliza ilikuwaje hii? Yawezekana wamemchoka.
 
Nimeipenda, Usalama wa Taifa wanamchukia sana JK, mbona wanasema jamaa hawaheshimu kwa kazi zao anawafokea wakimkataza kitu; wameamua kumwacha atwange anavyojua. Ila mmoja aliniambia waTanzania waoga wa mageuzi maana wangetaka hata leo kumzomea JK yuko tayari kuachia madaraka
Sasa kama anawachukia hawa jamaa c kuna cku watumtengenezea issu biashara iishe
 
Hee, sie tulikuwa hatuna umeme, kumbe alikosea!!!
Masikini, jamani,
This is shocking!!!!

Basi tena masikini, sina hata la kusema,
Yani akiandikiwa hata kupitia critically hawezi?
Mimi nimeshachanganyikiwa sasa.
Manake kila napojaribu kumpa benefit of doubt, ananiangusha

Bora akapumzike kwanza, hali si shwari!! kwake na kwetu. Kufaidi utajiri wake Tanzania itakuwa vigumu, naona itabidi wakaufaidi nje huko kwenye miradi yao.

Kuna mtu alikuwa anaisikiliza hotuba jana usiku, haishi kunipigia simu eti hotuba inamkera, nikamuambia si azime TV, kwani lazima? lakini alingangania kuisikiliza na kupigia watu simu kushea kichefuchefu alichokuwa anasikia weeeeeee, mpaka nikazima simu,
 
Back
Top Bottom