Hotuba ya Rais Kikwete kuuaga mwaka 2011

Hotuba ya Rais Kikwete kuuaga mwaka 2011

Nimegunduwa kuwa hatujui priorities zetu na hatufuati njia inayotakiwa tuifuate kama ni kweli tunataka kujikwamua kama Taifa.

Kutoa hiyo mikopo inasaidia nini kama ukweli ni kwamba hakuna mazingira ya kufacilitate uzalishaji bora?

Kuyaambia hayo makampuni h=ama watu wazalishe bidhaa bora zenye viwango vya kimataifa kabla ya kuwa na programs za kuwaanda na kuwatrain ni sawa na kupaka rangi hewa.

Hizo bidhaa za ku export zitengenezwe mawinguni?Given the energy criss we're facing? Halafu pia nimeona ni kuhusu mauwa na "horticultural"

Ok hata hizo EPZ wanazodai ziko karibu na bandari ama airports, je kama hakuna umeme what are going to store and where? Especially kama bidhaa ni za vyakula? Ama majenereta?

Sana sana ni mikopo tu hizo schemes, pelekeni pesa kuhakikisha mazingira ya uzalishaji ni smooth ili ku encourage hilo.

Haitowezekana kamwe kupata maendeleo chini ya energy problems tulizonazo, ni kuchezea pesa tu na kulaumiana, sana sana maybe kugawana tu ulaji...Ni bora serikali ingeangalia namna za tofauti za kuspend pesa kwa namna ya malengo marefu.

Ngoja nisubiri mifano hai kutokana na hizo schemes, si tupo?
 
Hotuba nzima ukiisoma kwa makini ni kama vile anajibu watu maswali yaliyokuwa yakisambaa mitaani. Haya angeweza kabisa kuyamaliza kila siku kama ungekuwa na utaratibu wa kuwa na mikutano na waandishi wa habari kila siku Ikulu yakiandaliwa na Salva....

Mwaka 2006 kuna hii habari ambayo nimeiweka hadi leo hii baada ya kuisoma na kila mara hujiuliza what real happened?...Yule JK wa 2006 alokuwa ktk World economic forum ndiye huyu alotungoja miaka 6 iliyopita?..Artical yenyewe hii hapa na imeandikwa na Prof. Olu Ajakaiye:-

I find the position of His Excellency,Jakaya M. Kikwete, President of the Republic of Tanzania quite inspiring as he rightly stated that China and India will not transform Africa; Africans will transform Africa (World Economic Forum on Africa, 2006: 13). He was also reported to have said that ultimately, it is up to Africa to start rowing the boat. Instead of Sino-African relations transforming the continent, the China-India twosome could lend assistance to the transformation and development process (China Monitor, June, 2006).
The morale of this disposition is that it is more pragmatic for Africa focus on designing suitable partnership arrangement aimed taking maximum advantage of the opportunities presented by the emergence of China on the world stage and ameliorating the adverse effectsof the challenges it may pose.

In this presentation, I will, like to focus on China-African relations in economic field with a view to identifying some of the opportunities and challenges Africa may face as China develops a new type of partnership featuring economic win-win cooperation. This is particularly important if the ascendancy of China onto the world stage is to assist in transforming Africa which, in this context, implies putting Africa firmly on the path of sustainable economic growth and development. In economic field China intends to contribute to enhancing all round cooperation between China and Africa primarily through trade, investment and aid which encompasses debt forgiveness, concessional loan and grants. Accordingly, the rest of this presentation is organized as follows:-

In the next three sections, the opportunities and challenges of China- Africa relations in the areas of trade, investment and aid are presented in turns. The presentation is concluded by a brief statement of the effort of the African Economic Research Consortium to get the African researchers and policy makers to respond the phenomena of China and India and their impact on Africa in the short, medium and long term as well as under plausible scenarios that may emerge.

It is our believe that the work of this Task Force and the outputs of our research endeavour will provide useful guide to the design of apartnership arrangements likely to ensure that China actually lends assistance to the transformation and development process as advocated by His Excellency, President Kikwete indynamic and evolving global context.
 
Hizo hapo ni objectives za hiyo scheme, alishindwa vipi kuziweka na kueleza how it will support the economy?

Pia si niliuliza kuhusu projections kuhusiana na exports ambazo ziko kwenye objectives?

Ama hata msaidizi wake wa kuandika hotuna huwa hafanyo hizi research ili kuandika hotuba itakayo connect na wananchi?

Kwakweli sasa nalazimika kukubaliana na Topical kwa ushauri aliokupa.....ile haikuwa academic research paper kiasi kwamba aanza kuelezea objectives za scheme hiyo..........kwakuwa hotuba ile haikuwa ya uzinduzi wa scheme hizo bali ilikuwa ni hotuba ya mwisho wa mwaka imayoelezea yaliyojiri mwaka uliokwisha na yatakayojiri mwaka unaofuata....kwa nilivyosoma na kuelewa hotuba ile...export guarantee scheme na ile nyingine zimewekwa mule in the context ya kuelezea juhudi zilizofanywa na serikali katika mwaka 2011 kuwawezesha wananchi kiuchumi.......inawezekana maelezo hayakuwa detailed kama ulivyopenda aongeleee wakulima wangapi walifaidika kupitia vyama vyao vya ushirika na walifaidika nini......lakini atleast imetoa numbers za vyama vya ushirika vilivyonufaika na amount ya pesa iliyotumika.....that is good enough for a broad speech inayo recap mambo meeengi ya usalama, siasa, uchumi, jamii etc etc
 
Nimegunduwa kuwa hatujui priorities zetu na hatufuati njia inayotakiwa tuifuate kama ni kweli tunataka kujikwamua kama Taifa.

Kutoa hiyo mikopo inasaidia nini kama ukweli ni kwamba hakuna mazingira ya kufacilitate uzalishaji bora?

Kuyaambia hayo makampuni h=ama watu wazalishe bidhaa bora zenye viwango vya kimataifa kabla ya kuwa na programs za kuwaanda na kuwatrain ni sawa na kupaka rangi hewa.

Hizo bidhaa za ku export zitengenezwe mawinguni?Given the energy criss we're facing? Halafu pia nimeona ni kuhusu mauwa na "horticultural"

Ok hata hizo EPZ wanazodai ziko karibu na bandari ama airports, je kama hakuna umeme what are going to store and where? Especially kama bidhaa ni za vyakula? Ama majenereta?

Sana sana ni mikopo tu hizo schemes, pelekeni pesa kuhakikisha mazingira ya uzalishaji ni msooth ili ku encourage hilo.

Haitowezekana kamwe kupata maendeleo chini ya energy problems tulizonazo, ni kuchezea pesa tu na kulaumiana, sana sana maybe kugawana tu ulaji...Ni bora serikali ingeangalia namna za tofauti za kuspend pesa kwa namna ya malengo marefu.

Ngoja nisubiri mifano hai kutokana na hizo schemes, si tupo?
Mikopo ni biashara yenye faida..... tofautisha na misaada!
 
Wakuu zangu Jmushi1 ana point kubwa sana...hatujafanikisha kitu na sababu kubwa ni kwamba JK hakuwasoma wadanganyika kwamba wao pia ni machinga kama yeye, mabillioni yake, Saccos, mikopo ya matrekta na mbolea watu wamefanya biashara tu za kimachinga..watu wamelchukua mwisho wameyauza wakachukua mtaji kwenda China kununua bidhaa za kubangaiza mjini zinazolipa haraka na bila kazi kubwa.

Wewe mkulima analima mlanguzi ndiye anapanga bei ya bidhaa zake unategemea vipi mkulima kunufaika..bidhaa itashuka vipi bei bei wakati Kenya, Uganda na Zimbabwe mali hiyo hiyo inauzwa mara mbili ya wahitaji nchini..scarcity itaendelea kuwepo nchini na bei haiwezi kushuka maadam demand ni kubwa kuliko usambazaji..

Kisha fedha hizo haziendi benki kwa sababu mlanguzi benki yake chini ya mto anapolala yeye.. we are creating middle class kupitia mgongo wa maskini mkulima..Bado kabisa jamani tusifikirie hii mpipango ya Millenium ya kupangiwa na IMF bila research zetu wenyewe sidhani kama zitafanya kazi maana hawa jamaa hawajui hata umaskini una adha gani..mtu maskini ana fikiri vipi kimaamuzi na kwa nini hupanga mlo kwa mlo. Mipango ya muda mrefu kwake ni kesho tu.

Sii rahisi leo mimi nikamwambie mtumishi anayepokea Tsh 50,000 jinsi ya kujiendeleza ikiwa maisha yangu sijawahi kuexprience maisha hayo na katika mazingira yake. Mipango mingi ya JK ni ya kusadikika kupitia hawa IMF ambao wanaitazama uhai wa nchi tajiri kupitia nchi maskini..Hakuna uwezeshaji wa mipango yote ya maendeleo kama ilivyo reli ya Kigoma au Upokeaji mizigo na kodi bandarini - Tunaenda tu kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
 
Ukilinganisha na miaka 70 ya ukoloni na miaka 50 ya uhuru; tumefanikiwa sana..je siyo kweli?

Kweli kabisa mkuuuuuuuu!!!!!!!!

9prvoo.jpg

Haya wale wa Mbagala Mbagala

246nvnl.jpg

Mojawapo ya shule zetu

a5kjk.jpg

Shule nyingine

6i60d1.jpg

Hivi kweli tumetimiza miaka 50 ya uhuru?

5nlnqo.jpg

Akina Usain Bolt wetu wa baadae
 
Nyambala unajua nimecheka saaaa kwa sababu unajibu hoja kisha nikarudia kutazama kwa makini ghaflka machozi yamenitoka...Halafu mtu anambie ati chagua CCM...
 
@nyambala

Umezitoa nchi gani na wapi hizo picha bana!

Zinakufaa sana kuombea msaada kama wafanyafao NGO zetu na makanisa kuomba msaada kwa wazungu so go ahead
 
This is just bogus. Read this paragraph:

Inakadiriwa kuwa hapa nchini mwaka 2011, kuna watu wenye uwezo wa kufanya kazi 22,152,320 na kati ya watu hao 2,368,672 au sawa na asilimia 10.7 hawana ajira. Ili watu hao waweze kupata ajira itategemea kwa kiasi gani tunafanikiwa kukuza uwekezaji katika sekta na shughuli mbalimbali. Bila ya hivyo kupatikana kwa ajira itakuwa ndoto.

So unemployment rate here in Tanzania is 10.7%? It does not make any sense at all.
Also why is the president asking us questions? Read this

Bado ningependa kujua imekuwaje tena kuwe na malimbikizo makubwa kiasi hiki. Mambo haya tulikwishaelewana kuhusu namna ya kuepuka malimbikizo. Kulikoni? Je lini tabia hii ya kulimbikiza madeni itakoma? Nataka majibu toka kwa wahusika.
It looks like his confidence level is way low. We the people don't answer your questions, YOU ARE THE ONE WHO IS SUPPOSED TO ANSWER OUR QUESTIONS. YOU NEED TO TALK TO YOUR CABINET AND OTHER GOVERNMENT OFFICIALS AND REPORT BACK TO US AND NOT OTHERWISE.

This is your second term but every time you give speech you keep mentioning that these problems were in place when you took the office. So for six years what have you done to rectify and correct them? If there are government or cabinet members who are not doing their jobs they need to be responsible and get fired.

It just a shame to keep hearing the same story over and over again.
 
Kwakweli sasa nalazimika kukubaliana na Topical kwa ushauri aliokupa.....ile haikuwa academic research paper kiasi kwamba aanza kuelezea objectives za scheme hiyo..........kwakuwa hotuba ile haikuwa ya uzinduzi wa scheme hizo bali ilikuwa ni hotuba ya mwisho wa mwaka imayoelezea yaliyojiri mwaka uliokwisha na yatakayojiri mwaka unaofuata....kwa nilivyosoma na kuelewa hotuba ile...export guarantee scheme na ile nyingine zimewekwa mule in the context ya kuelezea juhudi zilizofanywa na serikali katika mwaka 2011 kuwawezesha wananchi kiuchumi.......inawezekana maelezo hayakuwa detailed kama ulivyopenda aongeleee wakulima wangapi walifaidika kupitia vyama vyao vya ushirika na walifaidika nini......lakini atleast imetoa numbers za vyama vya ushirika vilivyonufaika na amount ya pesa iliyotumika.....that is good enough for a broad speech inayo recap mambo meeengi ya usalama, siasa, uchumi, jamii etc etc
Hapana, sikubaliani nayo hotuba hii. Nadhani hata wewe ungeweza kumwandikia a better one lol

Si lazima aonyeshe objectives directly, anaweza kuzlink na na mafanikio ama hizo projections za GDP na Export kugrowth ie hiyo 25%, sasa hapo ndo academic paper ama unatetea tu usichokijua au kwa upofu wa mapenzi yako?
 
ili tuendelee hatuhitaji tena Ardhi,Watu,Utawala Bora na Siasa safi

ili tuendelee tunahitaji Wawekezaji na Misaada- J.k

NDIO ILI TUENDELEE TUNAHITAJI WAWEKEZAJI WENGI WA NDANI.

Naona neno "wawekezaji" unalielewa ndivyo sivyo. Akili yako inakutuma kuwa wawekezaji ni wageni tu (watu wa mataifa mengine) bila kujua kuwa hata wewe Mtazania ni miongoni mwao.
 
Kweli kabisa mkuuuuuuuu!!!!!!!!

9prvoo.jpg

Haya wale wa Mbagala Mbagala

246nvnl.jpg

Mojawapo ya shule zetu

a5kjk.jpg

Shule nyingine

6i60d1.jpg

Hivi kweli tumetimiza miaka 50 ya uhuru?

5nlnqo.jpg

Akina Usain Bolt wetu wa baadae

Kikwete amethubutu ameweza na sasa anasonga mbele. Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana!!!! Duh!!!!!
 
@nyambala

Umezitoa nchi gani na wapi hizo picha bana!

Zinakufaa sana kuombea msaada kama wafanyafao NGO zetu na makanisa kuomba msaada kwa wazungu so go ahead

Unapenda sana kushutumu wenzio kwamba wanakwepa hoja, sijui wewe unafanya nini hapa!!!!! Mimi nakuonyesha maendeleo tuliyopiga so far wewe unaleta hadithi za misaada ebo????????
 
Nyambala unajua nimecheka saaaa kwa sababu unajibu hoja kisha nikarudia kutazama kwa makini ghaflka machozi yamenitoka...Halafu mtu anambie ati chagua CCM...

Mkuu yaani pamoja na yote hayo halafu tunaambiwa sijui kuna Lowasa na Karume, eti mtandao mara ooh CCM imethubutu!!!!!!!!! Inasikitisha!!!!!
 
@nyambala

Umezitoa nchi gani na wapi hizo picha bana!

Zinakufaa sana kuombea msaada kama wafanyafao NGO zetu na makanisa kuomba msaada kwa wazungu so go ahead

Bora ungetumia ile style yako ya kumtupia zigo hilo yule babu JK Nyerere. Kuuliza ni nchi gani inaonyesha kumbe wewe huijui Tanzania.
 
amemfurahisha mke wake na akina riz

Hebu kuwa mstaarabu we Mama/(pole, Bw!) haya siyo maneno ya kuyasema humu. Rais amehutubia Taifa zima. Ameongea na Watanzania siyo wewe. Kama unadhani kuna sehemu hajasemea sawa sawa kosoa humu kwa maelezo ya kujitosheleza siyo kutukana Rais. Huo siyo uhuru wa vyombo vya habari hata kidogo. Kama hauna cha kusema pita utafute threads zingine za NGONO ambazo unaweza kuchangia ili uchangie. Waachie wataalamu wachambue ili uone watu wanazungumza nini.

Tafadhali utanisamehe kwa kukuambia ukweli.

Nawasilisha.
 
Historia badala ya nini matarajio ya taifa na strategic plans za tutakwenda vipi kufikia paradiso ya watz. damn this man!!
 
Back
Top Bottom