Hotuba ya Rais Dkt. Samia ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikian - Waziri Mkuu Nchemba

Hotuba ya Rais Dkt. Samia ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikian - Waziri Mkuu Nchemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
260
Reaction score
199
Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 27, 2026

———————————————————-

Amesema hayo Bungeni wakati akitoa hoja ya kujadili hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa jijini Dodoma wakati akizindua Bunge la 13 Novemba 14, 2025.
 
Attachments

  • VID-20260127-WA0050.mp4
    43.2 MB
Back
Top Bottom