Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 850
- 788
Afadhali aliyekiri kuliko anayedanganya kila siku na kuwafanya watanzania kama mabwege huku akiendelea kupigiwa makofi na mabwege hao hao!Msigwa hawezi kuaminika popote labda kwa mke wake tu
Huyu anatumika tu kupima upepo,hata yeye anajua hawezi kuwa Rais kwa sababu ameshakiri kuwa ni msema uongo
Wewe na bwana yule siyo waongo?Mie sigombei hata ujumbe wa nyumba kumi
Tujikite kwa muongo wa dunia, halafu eti, ni mchungaji
Wale walichukua form mwaka 2015 kupitia cha ccm nafikiri ndo walikuwa na utani kupita maelezo"Leo natangaza rasmi nia yangu ya kuwania Urais wa Tanzania, ninautaka Urais kwasababu nataka kuongoza mageuzi makubwa ya kiutawala, kiuchumi na kielimu yatakayoleta maendeleo ya haraka"- PETER MSIGWA
More to follow:
Katika hali ambayo si ya Kawaida Mchungaji na Mbunge wa Iringa Mjini Petter Msigwa ametangaza kushiriki mchakato wa Nafasi ya Urais Ndani ya CHADEMA. Tayari Kejeli zimeanza kumiminika kwa wengine kwenda mbali zaidi na kusema huenda Sigara aliyovuta ni kali zaidi.
Kama kweli anawania CHADEMA ndiyo itakua chama cha Kwanza Kudharau Nafasi hiyo ya Urais Taangu tupate Uhuru mwaka 1961.
WE WACHA WEWE. !!! KWANZA WEWE UTALETA UDINIViongozi makini huota. Viongozi bora hubeba maono ya aina ya nchi wanayokusudia kuijenga. Ndoto yangu ni kuitoa Tanzania katika orodha ya nchi maskini sana duniani