Hotuba ya Mhe. Msigwa kutangaza nia ya Urais wa Tanzania (Full Text)

Hivi agenda ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa Mbowe imeishia wapi? mbona hamuitaki? hamtaki mwenyekiti atendewe haki makamanda? kwa nini mnaibua hoja zisizo maana kuzika hoja ya kuvamiwa na kushambuliwa mwenyekiti kitu kisicho kawaida yenu!???
Chadema itazungumza na wanahabari
 
Bravo Msigwa, umeeleweka, umetuonyesha ufunuo wa siasa ya uchumi wa jamii shirikishi.
Ni katika nguvu ya hoja kama hii itatundolea mawazo mgando.
 
"Leo natangaza rasmi nia yangu ya kuwania Urais wa Tanzania, ninautaka Urais kwasababu nataka kuongoza mageuzi makubwa ya kiutawala, kiuchumi na kielimu yatakayoleta maendeleo ya haraka"- PETER MSIGWA

More to follow:

Katika hali ambayo si ya Kawaida Mchungaji na Mbunge wa Iringa Mjini Petter Msigwa ametangaza kushiriki mchakato wa Nafasi ya Urais Ndani ya CHADEMA. Tayari Kejeli zimeanza kumiminika kwa wengine kwenda mbali zaidi na kusema huenda Sigara aliyovuta ni kali zaidi.

Kama kweli anawania CHADEMA ndiyo itakua chama cha Kwanza Kudharau Nafasi hiyo ya Urais Taangu tupate Uhuru mwaka 1961.
 
Ni halali yake,
Binafsi siwezi kumkosoa
Pia siwezi kumuona kama mwendawazimu,
Ila kama Tundu Lissu alitia nia ya kugombea ni bora angetumia utu na sio vyema chama kimoja ndani kuanza kutunishiana misuli..

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Tunashika majembe kwenda kulima wakipatana mtanipa taarifa maana nitkuwa kwenye kipindi cha kuvuna!
 
Hivi asipoteuliwa kwenye uraisi na chama chake anapoteza sifa ya kuchukua form ya ubunge?
 
"Leo natangaza rasmi nia yangu ya kuwania Urais wa Tanzania, ninautaka Urais kwasababu nataka kuongoza mageuzi makubwa ya kiutawala, kiuchumi na kielimu yatakayoleta maendeleo ya haraka"- PETER MSIGWA

More to follow:

Katika hali ambayo si ya Kawaida Mchungaji na Mbunge wa Iringa Mjini Petter Msigwa ametangaza kushiriki mchakato wa Nafasi ya Urais Ndani ya CHADEMA. Tayari Kejeli zimeanza kumiminika kwa wengine kwenda mbali zaidi na kusema huenda Sigara aliyovuta ni kali zaidi.

Kama kweli anawania CHADEMA ndiyo itakua chama cha Kwanza Kudharau Nafasi hiyo ya Urais Taangu tupate Uhuru mwaka 1961.
Kwani Mchungaji msigwa ana shida gani?
Tatizo mfumo wa nchi zetu za kiafrika hazina dira mahalum katika kuongoza nchi.

Mfano USA aijalishi we ni nani but mfumo uko wazi wakuendesha nchi, sasa njoo kwetu utamkuta kila kiongozi akiwa madarakani yeye kama yeye anakuja na Sera zake na hapa afrika ndo tulipo chelewa sana. BUT Msigwa mfano akiwa rais USA atafanya vizuri tu tena sana hachana na tz ila nimuombe mh Msigwa kweli anafaa ila mwaka huu amuunge mkono Lissu, maana iyo nayo ni mashine, tunataka raha ya uchaguzi mwaka huu
 
Mwambieni asamaraizi hiyo hotuba. Hatuna musa wa kusoma mistari mirefu kutoka kwa mtu dhaifu na mpuuzi ambaye yeye mwenyewe anajua chama chake hawawezi kumpa nafasi hiyo..
 
"Leo natangaza rasmi nia yangu ya kuwania Urais wa Tanzania, ninautaka Urais kwasababu nataka kuongoza mageuzi makubwa ya kiutawala, kiuchumi na kielimu yatakayoleta maendeleo ya haraka"- PETER MSIGWA

More to follow:

Katika hali ambayo si ya Kawaida Mchungaji na Mbunge wa Iringa Mjini Petter Msigwa ametangaza kushiriki mchakato wa Nafasi ya Urais Ndani ya CHADEMA. Tayari Kejeli zimeanza kumiminika kwa wengine kwenda mbali zaidi na kusema huenda Sigara aliyovuta ni kali zaidi.

Kama kweli anawania CHADEMA ndiyo itakua chama cha Kwanza Kudharau Nafasi hiyo ya Urais Taangu tupate Uhuru mwaka 1961.
Huu nao ni UONGO mwingine toka kwa Mchungaji Msigwa. Hata yeye anajua kuwa anadanganya! Tumpuuze
 
Hongera sana Mchungaji.

Campaign za mwaka huu ni rahisi sana, nakupa za kuanzia Mchungaji ili wale wa upande mwingine wachanganyikiwe

1. Mishahara kwa wafanyakazi. Ninaposema wafanyakazi ni wafanyakazi wote pamoja na wanajeshi yaani JWTz, hakuna aliyengezewa
2. Ukosefu wa ajira. Tumepoteza uhakika wa vijana wetu kupata ajira kwa 80% ya wanaomaliza vyuo
3. Idara za polisi na magereza kuwa sehemu ya ccm na mahakama kuwa kitengo mahususi cha kuhujumu democrasia
4. Teuzi za serikalini kufanyika kikanda zaidi, yaani kwa ubaguzi, leo kila msukuma anauwezo wa kufanya kitu kibaya kwa mtu yoyote
5. Mauwaji ya makusudi yanayosimamiwa na ccm kwa kushirikiana na idara ya polisi (Akwiline, Mawazo na wengine wengi)
6. Watu kupotea (Ben Saanane, Azory Gwanda kama mifano tu)
7. Watu kupigwa risasi hadharani. Na idara ya polisi kuacha kufanya majukumu ya kukusanya taarifa badala yake kufanya kisiasa.

Mtaji mnao mkubwa sana, hasa kwa wafanyakazi wa serikali ambao wamechoka na unyanyasaji wa wateule wa ccm.

Kazeni boot kuna nguvu kubwa iko mbele yenu. This year anything can hapen even revolve.

Mwambie na Tundu Lissu kuwa wengi wamechoka, waliobaki ni wale wa kusifia kila kitu ili kukata kiu ya matumbo yao.
 
Viva Msigwa ni haki yako kikatiba.
But jua yupo jembe -JPM kutoka CCM, mengi kafanya na yanaonekana kwa macho na si kwa darubini.
Maendeleo si vitu ni watu! Hiyo midege na Stigler's gorge, na fly overs na SGR zinakusaidia nini wewe kama huna pesa ya kula na kuishi na mahitaji ya kila siku kwa ujumla ?

JITAMBUE WACHA KUDANGANYIKA!
 
Back
Top Bottom